Je hii ni haki?

Je hii ni haki?

Ndo shida ya vimchepuko vya kijinga, kikipewa lift kinataka kupiga na honi....
Huyo mwanaume acha avune alichokipanda na nnamuombea alee huyo baby boy, ndoa ivurugike mwisho wa siku awe kabambikiwa sio wake ndo atajua kwanini fundi aliweka zipu kwenye suruali
 
Hahahaha asubuhi umenikosha na hii comment......
 
Bi dada alitaka mtoto kampata sasa anataka kuvuruga ndoa ya mwenzake........bwana naye anaonekana limbukeni kuwa na mtoto wa kiume ndio anachanganyikiwa ilikuwa zamani siku hizi watu hawaangali hilo
 
Mtoa post tu nawewe hujatulia, huna equanimity kbs and seem in oneness with the E-level lass
 
Shost niliyesoma nae six form tumekutana mjini miezi michache, baada ya E-level yeye hakuendelea na shule tena, ameajiriwa kwenye taasisi Fulani. Maisha yake ya kawaida anasukuma gurudumu. Darasani kulikuwa na kijana mmoja alikuwa na miakili dizain wale wapenda kitabuu. Nimekutana na shost ananipa za masiku tele ndiyo aniambia amezaa na yule jamaa ambae ni engineer kwenye shirika moja kubwa mjini.

Ananieleza kwenye umri wa 30+ akiwa hana mtoto wala ndoa, alikutana na jamaa mjini, walianza kubadilishana namba za simu katika kuongea sijui walianza vipi lakini waligegedana ili tu dada apate mtoto. Kaka akiwa kwenye ndoa yake mke na mabinti wawili.

Mdada kupata mimba amejifungua baby boy. Tatizo ni kama huyu dada anataka kuvunja ndoa ya watu, ameshajua jamaa amechanganyikiwa kupata mtoto wa kiume, sasa haishi kupiga simu aki-demand mahitaji ya mtoto.

My take, yeye alikuwa na shida ya mtoto, amlee mwanae asisumbue nyumba ya watu.
Umemaliza shule huko majuu? Mbona hiyo ni kawaida. Jana nilikuwa naongea Na jamaa mweusi ingawa si mtz, akasema watz ni wanafiki akikueleza kitu huna hakika Kama ni kweli. Sidhani kuna mwanamke hapa duniani anaweza kukubali umzalishe wewe uendelee Na nke wako thubutu. Hata akikueleza umtambulishe KWA big house ukafanya hivyo mwisho WA siku hatataka ulale big house
 
Ndo shida ya vimchepuko vya kijinga, kikipewa lift kinataka kupiga na honi....
Huyo mwanaume acha avune alichokipanda na nnamuombea alee huyo baby boy, ndoa ivurugike mwisho wa siku awe kabambikiwa sio wake ndo atajua kwanini fundi aliweka zipu kwenye suruali

Kinachosikitisha, yeye alimuelezea mkaka shida yake kuwa anahitaji mtoto, kaka wa watu ajua yeye ni just a sperm donor sasa visa haviishi, anataka mtoto atambulishwe kwa big house.
 
It was a typing error E-level jamani.
 
Kinachosikitisha, yeye alimuelezea mkaka shida yake kuwa anahitaji mtoto, kaka wa watu ajua yeye ni just a sperm donor sasa visa haviishi, anataka mtoto atambulishwe kwa big house.
Huyo kaka nae ni zombie sana....
Hivi hizo ni akili gani jamani, mtu anakuomba tu umpe mimba unakubali kirahisi, nadhani muda huko akili inaziwazia shahawa tu haziwazi mtoto
Angemwambia aende hospitali huko akapewe sperms za kwenye chupa, matatizo yote amejitakia mwenyewe.....
Wanawake harakati za kurubuni zilianza tangu enzi za Adam na Eva, Samsoni na delila haya sasa zamu ya shoga ako na Mr engineer
 
Kibaya zaidi, aweza kumpigia simu jamaa usiku amfahamishe mtoto anatemperature, engineer akiwa anadrive mdada anapiga simu kwa mkewe 'unaona nikimuita tu anakuja' hii si adabu.
 
Sasa umemshauri nini hiyo rafiki ako? Ana namba hadi za mke wa jamaa? Mke ameshajua uwepo wa huyo mtoto?
Huyo jamaa simuonei huruma kwakweli
 
Si ndiyo ninachoona ana nia ya kuvunja nyumba, alinipa story kuwa mwanangu anahitaji viatu, wakati engineer anawapeleka familia holiday, yaani kama si yeye aliyechomekea.
 
Ha ha ha dada kaua ndege wawili kwa jiwe moja lol, mtoto kapata na bado huduma za mtoto anapata tena huduma za lazma sio ombi
Imekula kwake huyo injinia mwenye zipu mbovu kwenye suruali yake
Na wanaume wengi wanaingizwa kingi kwa njia hii eti nipe mimba tu mtoto ntalea nani kasema!!!!
 
Bi dada alitaka mtoto kampata sasa anataka kuvuruga ndoa ya mwenzake........bwana naye anaonekana limbukeni kuwa na mtoto wa kiume ndio anachanganyikiwa ilikuwa zamani siku hizi watu hawaangali hilo

Labada hakujua au alidhamiria lakini inaelekea bidada amepiga hesabu za mbali kwa engineer.
 
Back
Top Bottom