FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,422
Umeacha Million duh kweli we jasiri.Ilitakiwa ukunjie pesa kwenye wallet ndo umwambie hufanyi hicho anachotaka.Mmmmh Milion ni nyingi jamani.
Umekosea mkuu,ungetumia 0655 kwa leo!Ex girlfriend wangu aliolewa miaka mitatu nyuma, tena aliniacha kwa kuniumiza moyo kuwa mimi sina hela wa maisha.
Kasikia kuwa kesho naoa, leo kasema ataniletea mchango wake 1mil. Tumekubaliana kukutana Kinondoni Manyanya. Baada ya kukutana nae anataka eti nikamfanye kwani amesisimuka baada ya kuniona.
Natamani nimpige lakini najua mpango wake ni kuniharibia harusi.
Nimemuacha na milioni yake
Umeamini?Umefanya vyema kumuacha
pesa ni makaratasi asije kukufanyia mchezo mbaya ukashindwa kuoa
all the best
Hiyo pesa ungemuomba akutumie.Ex girlfriend wangu aliolewa miaka mitatu nyuma, tena aliniacha kwa kuniumiza moyo kuwa mimi sina hela wa maisha.
Kasikia kuwa kesho naoa, leo kasema ataniletea mchango wake 1mil. Tumekubaliana kukutana Kinondoni Manyanya. Baada ya kukutana nae anataka eti nikamfanye kwani amesisimuka baada ya kuniona.
Natamani nimpige lakini najua mpango wake ni kuniharibia harusi.
Nimemuacha na milioni yake
Hii nayo CHAIEx girlfriend wangu aliolewa miaka mitatu nyuma, tena aliniacha kwa kuniumiza moyo kuwa mimi sina hela wa maisha.
Kasikia kuwa kesho naoa, leo kasema ataniletea mchango wake 1mil. Tumekubaliana kukutana Kinondoni Manyanya. Baada ya kukutana nae anataka eti nikamfanye kwani amesisimuka baada ya kuniona.
Natamani nimpige lakini najua mpango wake ni kuniharibia harusi.
Nimemuacha na milioni yake
JINGA KABISA WEWE...Ex girlfriend wangu aliolewa miaka mitatu nyuma, tena aliniacha kwa kuniumiza moyo kuwa mimi sina hela wa maisha.
Kasikia kuwa kesho naoa, leo kasema ataniletea mchango wake 1mil. Tumekubaliana kukutana Kinondoni Manyanya. Baada ya kukutana nae anataka eti nikamfanye kwani amesisimuka baada ya kuniona.
Natamani nimpige lakini najua mpango wake ni kuniharibia harusi.
Nimemuacha na milioni yake
angegonga angelaza dudu ya yuyu akimpa mwenye mji lisipande mtungi yani bi dada alitaka amcotrolUmefanya vyema kumuacha
pesa ni makaratasi asije kukufanyia mchezo mbaya ukashindwa kuoa
all the best
Oyaa,hivi unajua kuwa wewe una ufala?Sasa demu kaolewa,kaleta hela yeye mwenyewe,halafi jambo dogo linakufanya usikunje mpunga..duuEx girlfriend wangu aliolewa miaka mitatu nyuma, tena aliniacha kwa kuniumiza moyo kuwa mimi sina hela wa maisha.
Kasikia kuwa kesho naoa, leo kasema ataniletea mchango wake 1mil. Tumekubaliana kukutana Kinondoni Manyanya. Baada ya kukutana nae anataka eti nikamfanye kwani amesisimuka baada ya kuniona.
Natamani nimpige lakini najua mpango wake ni kuniharibia harusi.
Nimemuacha na milioni yake
angekuharibiaje harusi?Ex girlfriend wangu aliolewa miaka mitatu nyuma, tena aliniacha kwa kuniumiza moyo kuwa mimi sina hela wa maisha.