umefanya lamaana uyo kuna kitu alikuwa anatafuta na lengo lake alikuwa zuri,siku hiz tego la kugandana limepitwa na wakati,siku hiz mashine yako inasiamama masaa 24 ndio dawa ya siku hiz,na hiyo harusi isingefanyika,hongera sana mkuu
Hii nimeipenda...well done bro,
si ungempa tu cha fasta fasta cha nje???wala msingegandiana
s.fm, hiyo avatari yako jamani
si lazima sana mke wa mfalme kuwa ameiba enhe ?hata kule kushutumiwa tu kuwa ameiba?Kwanza ulienda kumuona wa nini? Watu wote wenye michango wewe ndo ulikuwa unafuata? Hivi ukimuona bi harusi mtarajiwa wako nae na ex wake, halafu akakuambia alifuata millioni ya mchango utachekelea?
Kuna vitu vinakuchafua tu, kwa muonekano na wala havihitaji exhibit!