Naomba kuuliza wanabodi kupitia picha hizi zinatoa tafsiri gani juu ya maandamano ya CHADEMA?
Picha hizo ni taswira ya uwanjani kabla ya mvua kunyesha.
Hizi ni baadhi ya picha za Barabara embu tuzitazame pia.
Je, itakuwa ni sahihi tukisema Chadema warudi mezani kuchora ramani yao upya …?
Leta maoni.