How comes?
Hata mimi huwa najiuliza how comes?
Hata mimi nilijiuliza hii maana wala sikupata maana...
na mie kidogo ni kumbeshe
na mimi nilikuwa na wazo kama hilihiliHamna tatizo ni matatizo tu ya macho kwangu binafsi siwezi kuhesabia kitu,labda iwe hivi mfano mimi ni mnene halafu akaleta size ya mwembamba haswa kama mtoto mdogo hapo ndo naweza kufikiri kwmba ana maana gani kufanya hivyo.
na mimi kidogo nirekebishe niseme
HOW COME