Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,330
- 72,613
Pole sana mkuu, Kama Mother kakaza jiandae kisaikolojia tu kulea mimba, tafuta shughuli ufanye fanye uinhize kipato huku ukiweka akiba, Lea mimba kwanza then uje kusoma hapo baadae...Mpango wa kusoma sasa hivi umekuwa ngetwa!(mbaya)
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Hat ningekuwa mimi, nisingekusomesha. Siwezi kusomesha MZAZI. Ungekomalia shule na kuachana na mambo ya mademu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inakufaa sana,wewe ni baba wa familia unataka umwachie nani majukumu yako? Hatuna shule za wababa kuna za wavulana tu. Lea mimba hiyo na mtiti wa kujifungua your first born uuone, ukienda shule utatuletea mjamzito mwingine ukidai shetani kakuzowea.
Kama kulea mimba sio tatizo kwa nini usijipeleke shule mwenyewe?Ni kweli unavyo sema... Lakini kulea mimba kwangu mimi sio tatzo.. Hata kwa uwezo wa familia yetu sio tatzo.. Tatzo ni maamuzi ya mama..
Yanayokukuta ulistahili. Na nahisi ndo maana ulifeli kidato cha nne. Hiyo adhabu ni size yako kabisa.Miaka 22
Usikwepe KUWAJIBIKA kwa uliyotenda. Kubaliana na matokeo halafu Ujipange na uzingatie ushauri wa Mzee Saidi hapo juu. Kwisha habari.Je mchanga ukiingia kunako jicho nikitu gani utafanya?? Utaritoa jicho lote au utatoa mchanga kunako jicho
jinga kweli....unataka kukimbia majukumu ? yaan mama yako akusomeshe pia akusaidie kulea kwa upuuz ulofanya ? nan alikuambia ukisoma ndio unafanikiwa ? sikiliza young man, ulishaharibu, tafuta job itakayokuingizia kipato uweke na serving kwa ajili ya mtoto ajae !
alafu hukua na sababu ya kutuambia mko wangapi sijui dada kaolewa! nenda kwenye point ya msingi