Je, Hayati Magufuli alichukia wawekezaji au alichukia wawekezaji janja janja?

Inawezekana pia hujui.

Kenya au wakenya wanaongea kiswahili fasaha kuliko sisi.Kwa lugha nyingine Wakenya wanafaa katika somo lakiswahili.

Leo hii ukiweka mtihani wakiswahili Kati ya mwanafunzi wa Kenya na Tanzania.

Mkenya anapata maksi nyingi kuliko Mtanzania.
Dah. Ndo maana SSH jana kawasifia anavyopenda kusikia wanavyoongea Kiswahili.
 
Kwa kumbukumbu zangu Mwendazake hakuwahi kuchukia wala kuwakataa wawekezaji; nakumbuka aliwahi kuwaambia watu wa Mazingira kwamba wanapaswa kufanya uchambuzi wa kimazigira wakati tiyari mwekezaji anaendelea na kazi.

Mwendazake aliwachukia wawekezaji wajanja ambao nazani ndo wengi sana nchi hii.

Hawa hawa tunaoenda kuwapigia magoti wengi ni wajanja janja sana tena mno.

Fikiria Shule ya English Medium ya mwekezaji wa Kikenya inakuwa hadi na Mwalimu wa somo la Kiswahili kutoka Kenya.

Kuna International school pia iko Arusha sitaitaja jina nilichoka kukuta Mwalimu wa somo la Kiswahili ni Mkenya asieee fikiia hapa.

Hawa ndo mwendazake alikuwa anawachukia sana, na ndo mama anataka kuwakumbatia.

Ila kwa kumbukumbu zangu Magufuli hakuwahi kukataa wawekezaji bali wawekezaji wajanja.
Umeandika usiyoyajua kabisa! Kwa taarifa yako ni kuwa wakenya no wataalamu waziri Sana katika lugha ya kiswahili na walimu wa kiswahili wa kimataifa wanatoka Kenya!
Kuhusu mwendazake kuwachukia wawekezaji lipo wazi kabisa kwani hakumpenda yeyote mwenye mtaji na alijitahidi kuwafilisi na kuwabandikia kesi za utakatishaji pesa Hadi kuwaundia Sheria na mahakama!
 
Kwa kumbukumbu zangu Mwendazake hakuwahi kuchukia wala kuwakataa wawekezaji; nakumbuka aliwahi kuwaambia watu wa Mazingira kwamba wanapaswa kufanya uchambuzi wa kimazigira wakati tiyari mwekezaji anaendelea na kazi.

Mwendazake aliwachukia wawekezaji wajanja ambao nazani ndo wengi sana nchi hii.

Hawa hawa tunaoenda kuwapigia magoti wengi ni wajanja janja sana tena mno.

Fikiria Shule ya English Medium ya mwekezaji wa Kikenya inakuwa hadi na Mwalimu wa somo la Kiswahili kutoka Kenya.

Kuna International school pia iko Arusha sitaitaja jina nilichoka kukuta Mwalimu wa somo la Kiswahili ni Mkenya asieee fikiia hapa.

Hawa ndo mwendazake alikuwa anawachukia sana, na ndo mama anataka kuwakumbatia.

Ila kwa kumbukumbu zangu Magufuli hakuwahi kukataa wawekezaji bali wawekezaji wajanja.

Kwa mfano uliotoa kwa shule ndio nimekuona wa ajabu.

Hakuna mkazi wa kigeni tapeleka mtoto wake katika shule ya serikali kwa saba u sheria hairuhusu. Kwa hiyo atapeleka mtoto shule binafsi na nyingi au zote zinatumia kiingereza kala lugha ya kufundishia. Ili mtoto huyo wa lugha ya kigeni ajue kiswahili - itabidi afundishwe lugha hiyo kwa kutumia kiingereza!! So hitaji la mwalimu wa kiswahili ni kiingereza fasaha!! Hii ndio sababu pia waalimu wa Kiswahili South Africa ni wake ya. Wa kwetu walianguka kiingereza.

Mkuu, iko hivi. Mwalimu wa shule ya msingi Kenya ana shahada ya chuo kikuu. Wa Tanzania bado tu waalimu walipata division 4 elimu ya sekondari. Huu ni ukweli na sidhani utaukataa.
 
Unawezaje ukaruhusu walimu wa Kenya nchini wakati tuna maelfu wa wahitimu wa Kitanzania wanaotaka hizo ajira?

Hizi ndizo akili za wanachama wa chama cha mbowe!
Sio kila anayeongea ama aliyesomea kiswahili anaweza kukifundisha! Wangekuwa wanaweza Basi watoto wetu wangepata Alama za juu Sana katika Somo la kiswahili kwenye mitihani yao! Elewa Hilo!
 
Inawezekana pia hujui.

Kenya au wakenya wanaongea kiswahili fasaha kuliko sisi.Kwa lugha nyingine Wakenya wanafaa katika somo lakiswahili.

Leo hii ukiweka mtihani wakiswahili Kati ya mwanafunzi wa Kenya na Tanzania.

Mkenya anapata maksi nyingi kuliko Mtanzania.
Jamaa hata hajui kuwa chimbuko la kiswahili ni Mombasa/malindi ambazo ziko Kenya
 
Kwa kumbukumbu zangu Mwendazake hakuwahi kuchukia wala kuwakataa wawekezaji; nakumbuka aliwahi kuwaambia watu wa Mazingira kwamba wanapaswa kufanya uchambuzi wa kimazigira wakati tiyari mwekezaji anaendelea na kazi.

Mwendazake aliwachukia wawekezaji wajanja ambao nazani ndo wengi sana nchi hii.

Hawa hawa tunaoenda kuwapigia magoti wengi ni wajanja janja sana tena mno.

Fikiria Shule ya English Medium ya mwekezaji wa Kikenya inakuwa hadi na Mwalimu wa somo la Kiswahili kutoka Kenya.

Kuna International school pia iko Arusha sitaitaja jina nilichoka kukuta Mwalimu wa somo la Kiswahili ni Mkenya asieee fikiia hapa.

Hawa ndo mwendazake alikuwa anawachukia sana, na ndo mama anataka kuwakumbatia.

Ila kwa kumbukumbu zangu Magufuli hakuwahi kukataa wawekezaji bali wawekezaji wajanja.
Magufuli was typical utopian with zeal in micro-approach for managing ultra structures. He ended up failing miserably. He is gone. Let him rest where he deserves.
 
Unawezaje ukaruhusu walimu wa Kenya nchini wakati tuna maelfu wa wahitimu wa Kitanzania wanaotaka hizo ajira?

Hizi ndizo akili za wanachama wa chama cha mbowe!
Kua tu na walimu sio sababu.unaweza kua na walimu wenye vyeti ila wakawa wababaishaji tu.Unadhani kinachotukwamisha mara nyingi ni nini kama sio ubabaishaji na uswahili mahali pa kazi.Kuna kipindi south afrika ilichukua walimu wa kiswahili kenya badala ya Tanzania nasio kwamba hawajui kua Tanzania yaweza kua na walimu wengi wa kiswahili kuliko Kenya ila inawezekana kuna sifa za ziada tunazikosa.Yatupasa tubadilike badala yakukalia ubishi na ujuaji usio na maana.
 
Kwa kumbukumbu zangu Mwendazake hakuwahi kuchukia wala kuwakataa wawekezaji; nakumbuka aliwahi kuwaambia watu wa Mazingira kwamba wanapaswa kufanya uchambuzi wa kimazigira wakati tiyari mwekezaji anaendelea na kazi.

Mwendazake aliwachukia wawekezaji wajanja ambao nazani ndo wengi sana nchi hii.

Hawa hawa tunaoenda kuwapigia magoti wengi ni wajanja janja sana tena mno.

Fikiria Shule ya English Medium ya mwekezaji wa Kikenya inakuwa hadi na Mwalimu wa somo la Kiswahili kutoka Kenya.

Kuna International school pia iko Arusha sitaitaja jina nilichoka kukuta Mwalimu wa somo la Kiswahili ni Mkenya asieee fikiia hapa.

Hawa ndo mwendazake alikuwa anawachukia sana, na ndo mama anataka kuwakumbatia.

Ila kwa kumbukumbu zangu Magufuli hakuwahi kukataa wawekezaji bali wawekezaji wajanja.
Kwa umaskini na makuzi yake aliathirika kisaikolojia kiasi kwamba akawa anachukia kila mtu TAJIRI hata kama siyo muwekezaji.

Ushamba, kukulia maisha ya kutojuwa biological father ambaye alikuwa mrundi, magonjwa ya moyo, ukichaa ndiyo vilimfanya ajikatae ma kuchukia watu wote wenye fedha zao.
 
Badala ya ww kufungua shule, unazunguka kwenye shule walizofungua wakenya kuangalia waalimu wa kufundisha kiswahili! Nyie waswahili mkipata hela mnajenga guest houses, na nyumba za kupanga, kisha wakenya wakijenga shule mnajifanya wazalendo kuangalia waalimu. Ww zungukia short time kwenye guest zako, sio waalimu wa kiswahili kwenye shule ya mkenya.
Mkuu umeua! ha ha ha!
 
Kua tu na walimu sio sababu.unaweza kua na walimu wenye vyeti ila wakawa wababaishaji tu.Unadhani kinachotukwamisha mara nyingi ni nini kama sio ubabaishaji na uswahili mahali pa kazi.Kuna kipindi south afrika ilichukua walimu wa kiswahili kenya badala ya Tanzania nasio kwamba hawajui kua Tanzania yaweza kua na walimu wengi wa kiswahili kuliko Kenya ila inawezekana kuna sifa za ziada tunazikosa.Yatupasa tubadilike badala yakukalia ubishi na ujuaji usio na maana.
Kuandika tu huwezi, halafu unataka kujitia mchambuzi wa hoja!?

Maneno meeengiii, ujinga mtupu!

Ajira zote zinazingatia nguvu-kazi-watu ya ndani.

Usitake kulisha watu ujinga hapa!

Yaani uache kuajiri watu wako, ukimbilie kuajiri wakenya?

Stupid baboon!
 
kutojuwa biological father ambaye alikuwa mrundi
Hii uliipata wapi? Story hii wanaijua wazee wachache (ambao bado wanaishi) wa pale Kashalunga, Muleba mahali familia ya akina Magufuli ilikoishi hadi robo ya kwanza ya 1960s, kisha kuhamia Biharamulo na baadaye Kyato!
 
Kwa kumbukumbu zangu Mwendazake hakuwahi kuchukia wala kuwakataa wawekezaji; nakumbuka aliwahi kuwaambia watu wa Mazingira kwamba wanapaswa kufanya uchambuzi wa kimazigira wakati tiyari mwekezaji anaendelea na kazi.

Mwendazake aliwachukia wawekezaji wajanja ambao nazani ndo wengi sana nchi hii.

Hawa hawa tunaoenda kuwapigia magoti wengi ni wajanja janja sana tena mno.

Fikiria Shule ya English Medium ya mwekezaji wa Kikenya inakuwa hadi na Mwalimu wa somo la Kiswahili kutoka Kenya.

Kuna International school pia iko Arusha sitaitaja jina nilichoka kukuta Mwalimu wa somo la Kiswahili ni Mkenya asieee fikiia hapa.

Hawa ndo mwendazake alikuwa anawachukia sana, na ndo mama anataka kuwakumbatia.

Ila kwa kumbukumbu zangu Magufuli hakuwahi kukataa wawekezaji bali wawekezaji wajanja.
Nini kina kufanya ushangae Mwalim wa somo la kiswahili kutoka Kenya,
 
Hakuwa na akili kama wewe
 
Magufuli alimchukia kila mtu isipokuwa vijana wake wa Tanroads.

Kifupi mwamba hakuwa na utu hata kidogo
 
Kwa kumbukumbu zangu Mwendazake hakuwahi kuchukia wala kuwakataa wawekezaji; nakumbuka aliwahi kuwaambia watu wa Mazingira kwamba wanapaswa kufanya uchambuzi wa kimazigira wakati tiyari mwekezaji anaendelea na kazi.

Mwendazake aliwachukia wawekezaji wajanja ambao nazani ndo wengi sana nchi hii.

Hawa hawa tunaoenda kuwapigia magoti wengi ni wajanja janja sana tena mno.

Fikiria Shule ya English Medium ya mwekezaji wa Kikenya inakuwa hadi na Mwalimu wa somo la Kiswahili kutoka Kenya.

Kuna International school pia iko Arusha sitaitaja jina nilichoka kukuta Mwalimu wa somo la Kiswahili ni Mkenya asieee fikiia hapa.

Hawa ndo mwendazake alikuwa anawachukia sana, na ndo mama anataka kuwakumbatia.

Ila kwa kumbukumbu zangu Magufuli hakuwahi kukataa wawekezaji bali wawekezaji wajanja.
Hakutakiwa kuwachukia, alitakiwa awawekee sheria, kanuni na taratibu za kufuata wakizikiuka ashughulike nao.
 
Back
Top Bottom