akihama meno yanafufuliwa
Ni vigumu sana kwani wamechelewaCCM inapita katika kipindi kigumu sana......mpaka Desemba tutajua mbichi na mbivu.
Wacha wajikaange kwa mafuta yao.Sisi tuwasaidie kukatakata na msumeno huo pembeni
Maajabu ni kwamba pamoja na ccm kutoelewa na upinzani nao wanaacha kutumia hyo nafasi nao wanabaki kushangilia migogoro