Je haya Matamko wanajipanga au !

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,645
Wanajamvi kuna baadhi ya Mawaziri ukiwaalika kwenye Sherehe kama gladuation au mkutano Wowote basi watatoa tamko ambalo litaleta mjadala si jambo baya ila nauliza tu

1:Wanakuwa wameyafanyia utafiti tayari
2:Wana washirikisha wenzao wataalamu
3:Je kama wasinge alikwa wangetoa ilo tamko
4:Ni tamko ambalo wanakuwa wamelipanga au linatokea tu hapo papo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom