Je, haya mapenzi tunayafaidi kama tulivyokuwa tukiyatamani tukiwa bado watoto au yanatuchakaza?

Mapenzi yalivyo kizungumkuti weka mbali na watoto hao watu wazima tu sometimes mtu anataka sumu au kitanzi kumbukumbu ya kwamba kuna shule itawapotea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulipokuwa wadogo tulikuwa tunaambiwa,'kijana soma kwanza mapenzi yapo tu, muda ukifika utayachezea mpaka utayakimbia/utayakinai'. Kwa sasa tumeshakuwa wakubwa.

Je, haya mapenzi tunayafaidi kama tulivyokuwa tukiyatamani tukiwa bado watoto au yanatuchakaza?
Corona ndo inaharibu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom