Je hawa wadada wa Facebook wanajiuza?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli.
 
Kwani wanajali hilo? Hiyo ni biashara yao
Kwa kweli ni biasharaa, ila mie nilifanya zamani sana utapeli wa mitandaoni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimestaafu sasa, kuna mwana nilimpiga jumla 865k.

Toka 2017 - 2019, J popote ulipo nisamehee.
F, P
Woiiiiiiii
 
πŸ₯Ί ngoja tukureport wakukamate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…