Je, hawa vijana wana uelewa na weledi wa kutosha?

Je, hawa vijana wana uelewa na weledi wa kutosha?

Ili mtu akutumie vizuri ni lazima kwanza 'akuvue utu wako' baada ya hapo kwisha habari yako ! Hutoweza tena kuongea chochote cha msingi maana huna thamani tena
Kama hivi
JamiiForums1389173211.jpeg
 
Kundi la pili halitumii nguvu kubwa kwa sababu linaenda na nature, kundi la kwanza lipo against nature ndio maana unaona inatumika nguvu kubwa ikiwemo kuwahonga.

Kwa mfano, ni kweli vifo vimetokea hata wao wanajua dunia nzima imeshuhudia lazima utumie nguvu kubwa kuiaminisha dunia kuwa havijatokea.

CD; @Fanuku, Tlaatlaah, HAYA LAND HOV, stakehigh, Lucas Mwashambwa, Invisible Mafia, Ertugrul Bey, Stuxnet, Lucha, gallow bird, Kimbesa11, Ritz, THE BIG SHOW, Chibike, Tanganian
Kundi la pili halitumii nguvu kubwa kwa sababu linaenda na nature, kundi la kwanza lipo against nature ndio maana unaona inatumika nguvu kubwa ikiwemo kuwahonga.
 
Naona mnajitekenya na kujichekesha wenyewe kama mazuzu. Mkizidiwa hoja mnaanza kupiga mayowe na kusema kuna vijana wanalipwa. Mbona ninyi hamsemi mbalipwa shilingi ngapi kueneza uzushi ,uongo na uchonganishi kwa Taifa letu? Ulipiga Malamli yako ya kiganga kuombea mabaya kwa Taifa letu lakini ukaishia kuvuna Aibu tu.
 
Acha kuandika upumbavu we nyumbu
-Mmeshawishi vijana wa watu wakaenda kuvunja na kuharibu mali za umma, wakati wewe una infinix yako ndani unaandika zmechomwa kadhaa
-mmewashawishi vijana wa kitanzania wamekufa kwa kuzuiliwa kufanya uharibifu wa mali za umma nyie mpo ndani mmekalisha matako ndani mnaandika RIP shujaa.huu ni ujuha
-yale maduka mliokuwa mnawaagiza wakaharibu ndimo tanganyika ilikuwa imefungiwa takataka wewe
-kule mwanza waliingia kiwandani kuiba magodoro na kiwanda kikalipuka, mle palikuwemo na tanganyika au mamako nyumbu wewe!
-zile gari mlizoiba na zingne kuchoma kwenye yale magari palikuwemo na tanganyika mle au ni unyumbu tu.
-mlitaka watu warudi enzi za uwimbombo na ulindi mnaenda kuchoma vyanzo vya umeme, mle palikuwemo na tanganyika au mamako?

ENDELEENI KUWASHAWISHI HALAFU MUANZE KUTAFUTA IDADI YA WALIOKULA MISUMARI
KUMBE UJUMBE UMEFIKA ILA UNAUMA KISHENZI
 
Naona mnajitekenya na kujichekesha wenyewe kama mazuzu. Mkizidiwa hoja mnaanza kupiga mayowe na kusema kuna vijana wanalipwa. Mbona ninyi hamsemi mbalipwa shilingi ngapi kueneza uzushi ,uongo na uchonganishi kwa Taifa letu? Ulipiga Malamli yako ya kiganga kuombea mabaya kwa Taifa letu lakini ukaishia kuvuna Aibu tu.
Hivi kuna zuzu kama lucas hapa jukwaani? Wewe ni mmoja wa watu wanaodharauliwa sana hapa jukwaani.
 
Kundi la pili halitumii nguvu kubwa kwa sababu linaenda na nature, kundi la kwanza lipo against nature ndio maana unaona inatumika nguvu kubwa ikiwemo kuwahonga.

Kwa mfano, ni kweli vifo vimetokea hata wao wanajua dunia nzima imeshuhudia lazima utumie nguvu kubwa kuiaminisha dunia kuwa havijatokea.

CD; @Fanuku, Tlaatlaah, HAYA LAND HOV, stakehigh, Lucas Mwashambwa, Invisible Mafia, Ertugrul Bey, Stuxnet, Lucha, gallow bird, Kimbesa11, Ritz, THE BIG SHOW, Chibike, Tanganian
at the same time, ni kweli mali za watu zimeharibiwa pamoja na za umma lakini mnatumia nguvu nyingi kuaminisha watu walikua waandamanaji na sio wahalifu
 
at the same time, ni kweli mali za watu zimeharibiwa pamoja na za umma lakini mnatumia nguvu nyingi kuaminisha watu walikua waandamanaji na sio wahalifu
Sawa pikipiki 2
at the same time, ni kweli mali za watu zimeharibiwa pamoja na za umma lakini mnatumia nguvu nyingi kuaminisha watu walikua waandamanaji na sio wahalifu
Sawa nikweli magari ya umma 976 yaliharibiwa na roho za watu 10,000, kwahiyo kwa akili yenu machawa,

hasara ya jumla magari + roho ni 10,976.

Mna roho ya kishetani sana.
 
Kundi la pili halitumii nguvu kubwa kwa sababu linaenda na nature, kundi la kwanza lipo against nature ndio maana unaona inatumika nguvu kubwa ikiwemo kuwahonga.

Kwa mfano, ni kweli vifo vimetokea hata wao wanajua dunia nzima imeshuhudia lazima utumie nguvu kubwa kuiaminisha dunia kuwa havijatokea.

CD; @Fanuku, Tlaatlaah, HAYA LAND HOV, stakehigh, Lucas Mwashambwa, Invisible Mafia, Ertugrul Bey, Stuxnet, Lucha, gallow bird, Kimbesa11, Ritz, THE BIG SHOW, Chibike, Tanganian
kama hiyo porojo ni ya ina uhalisia wa kisiasa basi,
huenda waliohusika na wale wanaojihusisha na ugaidi ama wale mamluki wa mabwenyenye ya magaharibi waliojitoa akili na kujifanya malofa, kumbe wanalenga kuvuruga amani, kupora watu na kuharibu miundombinu ya umma na ile binafsi ya wananchi kwa makusudi.

Kumbuka,
falsafa ya ulinzi wa Taifa letu ni kwamba,AMANI, UTULIVU NA UMOJA WA TAIFA LETU UTALINDWA KWA NGUVU NA GHARAMA YOYOTE ILE.

na kama huamini katika hilo,
sogeza pua yako kwenye kuharibu miundombinu ya waTanzania au walau jaribu kuchochea au kuvuruga utulivu wa waTanzania na uzawadiwe raha ya milele bila kucheleweshwa hata sekunde moja :NoGodNo:
 
Lipo kundi la vijana la propaganda mitandaonu lililotumwa maalum kubeza, kukejeli na kufubaza harakati zote za ukombozi wa Tanganyika zinazoongozwa na Gen Z
Hili ni kundi mchanganyiko lenye uelewa na maslahi tofauti kwenye hali tuliyo nayo

Wapo wafaidikaji wakuu na wenye maslahi ya moja kwa moja na wapo fukara wanaoambulia makombo. Ambao wao kwa ujira usiozidi million moja kwa mwezi wako tayari kufanya chochote kile hata kama kitadhalilisha utu wao
Ni wazi hatuwezi kufanana kwenye kila kitu, kuanzia imani mpaka itikadi.. Lakini kwenye kila kitu kuna mambo ya msingi ambayo hayazingatii imani wala itikadi.. Hayo yapo na yanajitegemea na mojawapo ni HAKI ya kuishi na UHURU wa kutoa maoni bila kuvunja katiba

Mfumo wenye makandokando mengi na tuhuma za kila aina unajitahidi kwa kila njia kujinasua na kujisafisha mbele ya watu na jumuiya za kimataifa

Hilo ni jambo la kawaida popote kwakuwa kuna kundi faidika kati yao na linajua wazi kwamba mambo yakienda mrama nao watayumba na kuwa sehemu ya uwajibikaji
Kwenye shida yoyote iwe kubwa ama ndogo jifunze kutulia.. Ukipaniki tuu.. Umejimaliza kwa bei poa kabisa, mbaya zaidi unaweza kusababisha madhara hata kwa wasiohusika

Kwenye medani za vita kila silaha ni muhimu kwa ajili ya ushindi, lakini haziwezi kutumika zote kwa wakati mmoja.. Kuna silaha za mkakati na kuna silaha kulingana na mazingira

Vijana waliotumwa mitandaoni kuwashambulia wote wanaotaka mambo yarekebishwe kwa manufaa ya taifa zima
Wengi hawajaandaliwa vema
Wengi no tiamajitiamaji
Wengi wana stress mbalimbali za maisha,kuanzia kipato mpaka ajira
Wengi wana uono na maono kimo cha mbilikimo kwenye hoja na tafakuri muhimu
Wengi hawana uwezo wa kujibu hoja bali hujibu viroja
Wengi ni wahitimu waliosoma lakini hawakuelimika.. Ni wahitimu janjajanja

Hawa ni tofauti kabisa na kundi la vijana wenzao wapigania haki kwa wore
Wamesoma na kuelimika
Wamefaulu kwa haki
Wana maono makubwa na mazuri
Hoja zao zina mashiko
Wanajitolea hawalipwi
Wanapambania kesho bora ya wote na si ya kikundi faidika cha watu wachache
Wana mbinu, wana mikakati na hoja zinazielezeka
Kama ukifanya tathmini ya siku na ya mwezi kundi hili la pili linajizolea point nyingi kila wakati! Na kila siku ipitayo wanasonga hatua moja mbele.. Maana wamejitambua na wanajielewa wanataka nini na kwa faida ya nani
.ndugu zao wa upande wa pili wao hawana mikakati, hawana hoja hawana akili.. Wao kazi yao ni vijembe, kejeli matusi uzushi uongo na uzandiki.. Na malipo yanapocheleweshwa utajua tuu

Kuna wakati wasilaumiwe Sana.. Maana wanatumikia tumbo. Na hakuna kitu kibaya kama njaa.. Aliyesema adui yako muombee njaa aliwaza jambo kubwa Sana..
Hawa hawajui ya kuwa kinachopiganiwa kina maslahi na faida kwao pia! Kazi ya ujira mwisho wake ni kutupwa.. Je mabadiliko tarajiwa yatakapotokea wataweka wali nyuso zao;?View attachment 3519313

View: https://www.facebook.com/share/v/1DimGudiwx/

Sio kundi ni uvccm, yaan tena sikuizi wanatishia watu kabisa
As if wana mamlaka fulani
 
Acha kuandika upumbavu we nyumbu
-Mmeshawishi vijana wa watu wakaenda kuvunja na kuharibu mali za umma, wakati wewe una infinix yako ndani unaandika zmechomwa kadhaa
-mmewashawishi vijana wa kitanzania wamekufa kwa kuzuiliwa kufanya uharibifu wa mali za umma nyie mpo ndani mmekalisha matako ndani mnaandika RIP shujaa.huu ni ujuha
-yale maduka mliokuwa mnawaagiza wakaharibu ndimo tanganyika ilikuwa imefungiwa takataka wewe
-kule mwanza waliingia kiwandani kuiba magodoro na kiwanda kikalipuka, mle palikuwemo na tanganyika au mamako nyumbu wewe!
-zile gari mlizoiba na zingne kuchoma kwenye yale magari palikuwemo na tanganyika mle au ni unyumbu tu.
-mlitaka watu warudi enzi za uwimbombo na ulindi mnaenda kuchoma vyanzo vya umeme, mle palikuwemo na tanganyika au mamako?

ENDELEENI KUWASHAWISHI HALAFU MUANZE KUTAFUTA IDADI YA WALIOKULA MISUMARI
Umeongea jambo la maana sana mkuu,haya hayakuwa maandamani bali kundi la watu walitaka kuonyesha hasira zao mbele ya dola, wasichojua kwamba dola huwa haichezewi

Kibaya zaidi walijazwa ujinga kana kwamba Tanganyika unaikommboa kana kwamba unaenda dukani kununua bidhaa

Bila kupepesa macho ukweli unauma lakni lazima tuuseme ukweli, kulikuwa kuna mpango wa makusudi kuaharibu amani ya nchi ili wale WANAHARAKI wenye project yao wapate kufanikiwa

Siku zote wananchi hawawezi kuiondoa dola madarakani bila usaidizi wa vyombo vya usalama

Kwahiyo hapa Tanzania vyombo vya usalama vipo pamoja na dola,hakuna kuangushwa kwa dola ya TANZANIA labda vyombo vya Usalama vibadili mawazo yao

Narudia tena ni ujinga mkubwa sana hata kuota ndoto eti hawa vijana wasio jielewa watapindua nchi,hakuna abadani
 
Kuna mtu alisema kuna mstari mdogo, kati ya uchawa na ushoga, wengi ni hamna kitu.

Uki watazama au kuwasoma una ona au kuelewa kabisa, hawa shindwi kuuza ndugu zao kisa pesa.
Wewe na wenzio humu ni wapumbavu sana. Platform hii mnatumia kuhamasisha vurugu, uhalifu, na kutaka kupindua nchi all in the name of ukombozi sjui Haki...Haki ni nyie wapumbavu mnaenda kuchoma maduka ya watu , kuchoma shule, sheli, kuchoma magari na nyumba, na mabasi ..ni Haki ipi hio wapumbavu nyie mnayodai kwa staili hio? Mkiambiwa mnatukana watu mnasema ni chawa, Yani mtu ahamasishe amani kwenye nchi yake mseme analipwa elfu Saba? Elfu saba ni kubwa kuliko amani kwenye nchi? Jaribuni tena mtolewe utumbo na zile njemba nne...
 
Yako mengi sana yametumwa , ila jf sio nyepesi kama wanavyofikilia ,yatapigwa spana mpaka yakome
Jaribuni tena kupindua serikali muone mtakavyofumuliwa UBONGO...hamtaki kufanya kazi mmekalia Haki Haki ..Hali Gani...mnahamasishwa na kundi la wapumbavu wanaoishi nje ya nchi wanaowaambia mharibu nchi yenu
 
Wengi wao hawana akili wamejikatia tamaa ya maisha, buku saba ni muhimu kwao kuliko haki na future ya Taifa, na kuna wadini wenye akili za hovyo wanaoamini hii ni vita ya kidini kwa sababu kiongozi ni kobazi mwenzao na wanachukia wasio kobazi
 
Acha kuandika upumbavu we nyumbu
-Mmeshawishi vijana wa watu wakaenda kuvunja na kuharibu mali za umma, wakati wewe una infinix yako ndani unaandika zmechomwa kadhaa
-mmewashawishi vijana wa kitanzania wamekufa kwa kuzuiliwa kufanya uharibifu wa mali za umma nyie mpo ndani mmekalisha matako ndani mnaandika RIP shujaa.huu ni ujuha
-yale maduka mliokuwa mnawaagiza wakaharibu ndimo tanganyika ilikuwa imefungiwa takataka wewe
-kule mwanza waliingia kiwandani kuiba magodoro na kiwanda kikalipuka, mle palikuwemo na tanganyika au mamako nyumbu wewe!
-zile gari mlizoiba na zingne kuchoma kwenye yale magari palikuwemo na tanganyika mle au ni unyumbu tu.
-mlitaka watu warudi enzi za uwimbombo na ulindi mnaenda kuchoma vyanzo vya umeme, mle palikuwemo na tanganyika au mamako?

ENDELEENI KUWASHAWISHI HALAFU MUANZE KUTAFUTA IDADI YA WALIOKULA MISUMARI
Umeandika uharo. Hakuna sheria inayosema mtu akifanya uhalifu apigwe risasi
 
Back
Top Bottom