Je, hawa vijana wana uelewa na weledi wa kutosha?

Je, hawa vijana wana uelewa na weledi wa kutosha?

Kundi la pili halitumii nguvu kubwa kwa sababu linaenda na nature, kundi la kwanza lipo against nature ndio maana unaona inatumika nguvu kubwa ikiwemo kuwahonga.

Kwa mfano, ni kweli vifo vimetokea hata wao wanajua dunia nzima imeshuhudia lazima utumie nguvu kubwa kuiaminisha dunia kuwa havijatokea.

CD; @Fanuku, Tlaatlaah, HAYA LAND HOV, stakehigh, Lucas Mwashambwa, Invisible Mafia, Ertugrul Bey, Stuxnet, Lucha, gallow bird, Kimbesa11, Ritz, THE BIG SHOW, Chibike, Tanganian

Mimi sijabeza harakati za MTU yeyote hapa.

Umekosea kuni -tag
 
hawana uelewa wa kutosha na ndio maana wamekubali kubebwa ufala wa kifikra na vibaraka na kufanywa mamluki wa kuchakata porojo eti ili kuchochea vurugu na fujo za kuwaangamiza famila zao nchini kwao, huku wao wakiwa wamepangishiwa nyumba ya kuishi jijini Nairobi, wakilishwa na kuvishwa na vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi.

ni malofa sana BAVICHA vijana wa chadema masalia :NoGodNo:
 
Kundi la pili halitumii nguvu kubwa kwa sababu linaenda na nature, kundi la kwanza lipo against nature ndio maana unaona inatumika nguvu kubwa ikiwemo kuwahonga.

Kwa mfano, ni kweli vifo vimetokea hata wao wanajua dunia nzima imeshuhudia lazima utumie nguvu kubwa kuiaminisha dunia kuwa havijatokea.

CD; @Fanuku, Tlaatlaah, HAYA LAND HOV, stakehigh, Lucas Mwashambwa, Invisible Mafia, Ertugrul Bey, Stuxnet, Lucha, gallow bird, Kimbesa11, Ritz, THE BIG SHOW, Chibike, Tanganian

Hakuna MTU mwenye akili au Kijana msomi , ambaye hapendi mabadiliko hayupo.

Ila katika hii MOVEMENT iliyoanza Kama No reform no election

Baadae GEN Z wakaja na Tunatoka.

Niseme hakuna akiyekosea kuanzia Chadema mpaka GEN Z .

Ila approaching ndo ilikuwa mbaya Sana .

Kwanza ilitumika dark psychology kufanya manipulation kuwa Jeshi lipo upande wa GEN Z.

Hii ilileta muhamko Ila ilikuwa sio taarifa ya kweli .

Baadae kweli 29/10 GEN Z waliamini kuwa wakitoka jeshi litawalinda .

Ila kilichotokea sote tunajua .

Mimi HAYA LAND, au HOV sipindi harakati , sipingi mawazo mbadala Ila napinga njia ya maandamano kuwa endapo vijana wakiingia barabarani wataishia kupata madhara Kama yale ya 29/10

Ni Ajabu kuona unamuita MTU chawa au kuamini kalipwa pesa n.k jambo ambalo hauna uhakika nalo.

Hi I harakati za kudai mabadiliko tumeanza kitambo Ila hatuwezi kutumia mbinu ambazo zitaleta madhara kwa vijana na kuwapa ulemavu na vufungo .

Hayo haywezi kuwa mabadiliko.
 
fact
 
Lipo kundi la vijana la propaganda mitandaonu lililotumwa maalum kubeza, kukejeli na kufubaza harakati zote za ukombozi wa Tanganyika zinazoongozwa na Gen Z
Hili ni kundi mchanganyiko lenye uelewa na maslahi tofauti kwenye hali tuliyo nayo

Wapo wafaidikaji wakuu na wenye maslahi ya moja kwa moja na wapo fukara wanaoambulia makombo. Ambao wao kwa ujira usiozidi million moja kwa mwezi wako tayari kufanya chochote kile hata kama kitadhalilisha utu wao
Ni wazi hatuwezi kufanana kwenye kila kitu, kuanzia imani mpaka itikadi.. Lakini kwenye kila kitu kuna mambo ya msingi ambayo hayazingatii imani wala itikadi.. Hayo yapo na yanajitegemea na mojawapo ni HAKI ya kuishi na UHURU wa kutoa maoni bila kuvunja katiba

Mfumo wenye makandokando mengi na tuhuma za kila aina unajitahidi kwa kila njia kujinasua na kujisafisha mbele ya watu na jumuiya za kimataifa

Hilo ni jambo la kawaida popote kwakuwa kuna kundi faidika kati yao na linajua wazi kwamba mambo yakienda mrama nao watayumba na kuwa sehemu ya uwajibikaji
Kwenye shida yoyote iwe kubwa ama ndogo jifunze kutulia.. Ukipaniki tuu.. Umejimaliza kwa bei poa kabisa, mbaya zaidi unaweza kusababisha madhara hata kwa wasiohusika

Kwenye medani za vita kila silaha ni muhimu kwa ajili ya ushindi, lakini haziwezi kutumika zote kwa wakati mmoja.. Kuna silaha za mkakati na kuna silaha kulingana na mazingira

Vijana waliotumwa mitandaoni kuwashambulia wote wanaotaka mambo yarekebishwe kwa manufaa ya taifa zima
Wengi hawajaandaliwa vema
Wengi no tiamajitiamaji
Wengi wana stress mbalimbali za maisha,kuanzia kipato mpaka ajira
Wengi wana uono na maono kimo cha mbilikimo kwenye hoja na tafakuri muhimu
Wengi hawana uwezo wa kujibu hoja bali hujibu viroja
Wengi ni wahitimu waliosoma lakini hawakuelimika.. Ni wahitimu janjajanja

Hawa ni tofauti kabisa na kundi la vijana wenzao wapigania haki kwa wore
Wamesoma na kuelimika
Wamefaulu kwa haki
Wana maono makubwa na mazuri
Hoja zao zina mashiko
Wanajitolea hawalipwi
Wanapambania kesho bora ya wote na si ya kikundi faidika cha watu wachache
Wana mbinu, wana mikakati na hoja zinazielezeka
Kama ukifanya tathmini ya siku na ya mwezi kundi hili la pili linajizolea point nyingi kila wakati! Na kila siku ipitayo wanasonga hatua moja mbele.. Maana wamejitambua na wanajielewa wanataka nini na kwa faida ya nani
.ndugu zao wa upande wa pili wao hawana mikakati, hawana hoja hawana akili.. Wao kazi yao ni vijembe, kejeli matusi uzushi uongo na uzandiki.. Na malipo yanapocheleweshwa utajua tuu

Kuna wakati wasilaumiwe Sana.. Maana wanatumikia tumbo. Na hakuna kitu kibaya kama njaa.. Aliyesema adui yako muombee njaa aliwaza jambo kubwa Sana..
Hawa hawajui ya kuwa kinachopiganiwa kina maslahi na faida kwao pia! Kazi ya ujira mwisho wake ni kutupwa.. Je mabadiliko tarajiwa yatakapotokea wataweka wali nyuso zao;?View attachment 3519313

View: https://www.facebook.com/share/v/1DimGudiwx/

Sijui kama mnajua kuwa nanyi mnatumika na baadhi ya watu ambao wao wanafaidika katika mchakato huu wa fujo na kutaka kuleta machafuko kwa kuwatumia hao vijana mnaowaita Gen Z na kuwatoa kafara.
Wacha tutumie njia bora zaidi za kufikia maridhiano lakini si kuwaingiza watoto zetu barabarani ilhali nyiyni mpo nyuma ya keyboards mnahamasisha fujo.
 
Hakuna MTU mwenye akili au Kijana msomi , ambaye hapendi mabadiliko hayupo.

Ila katika hii MOVEMENT iliyoanza Kama No reform no election

Baadae GEN Z wakaja na Tunatoka.

Niseme hakuna akiyekosea kuanzia Chadema mpaka GEN Z .

Ila approaching ndo ilikuwa mbaya Sana .

Kwanza ilitumika dark psychology kufanya manipulation kuwa Jeshi lipo upande wa GEN Z.

Hii ilileta muhamko Ila ilikuwa sio taarifa ya kweli .

Baadae kweli 29/10 GEN Z waliamini kuwa wakitoka jeshi litawalinda .

Ila kilichotokea sote tunajua .

Mimi HAYA LAND, au HOV sipingi harakati , sipingi mawazo mbadala Ila napinga njia ya maandamano kuwa endapo vijana wakiingia barabarani wataishia kupata madhara Kama yale ya 29/10

Hi I harakati za kudai mabadiliko tumeanza kitambo Ila hatuwezi kutumia mbinu ambazo zitaleta madhara kwa vijana
angalau hapa nmekuelewa sio kuja na maneno ya kejeri na kuzidi kuwajaza hasira vijana.
 
Sijui kama mnajua kuwa nanyi mnatumika na baadhi ya watu ambao wao wanafaidika katika mchakato huu wa fujo na kutaka kuleta machafuko kwa kuwatumia hao vijana mnaowaita Gen Z na kuwatoa kafara.
Wacha tutumie njia bora zaidi za kufikia maridhiano lakini si kuwaingiza watoto zetu barabarani ilhali nyiyni mpo nyuma ya keyboards mnahamasisha fujo.
Naomba uwe muwazi na mkweli bila kutumia uzushi
Je tunatumika na akina nani
Je tunalipwa bei gani
Je manufaa yake ninini?
 
Back
Top Bottom