Bwana Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 3,680
- 7,713
Mdudu mwenyewe huyu mkuu , pole sanaView attachment 2980807
Emb angalia mkuu kama utaelewa ingawa picha haineshi visuri
Mdudu mwenyewe huyu mkuu , pole sanaView attachment 2980807
Emb angalia mkuu kama utaelewa ingawa picha haineshi visuri
yeah ni mbuzi huyo bobNimepita bar fulani ina mgahawa, nimeulisa nyama choma wakasema kipande 6,000, nikasema anifungie.
Sasa nyama imechomwa, imefungwa kwenye kile kifuko cha karatasi cha khaki, ndani kuna foil, chaajabu nyama inachurusika mafuta hatari.
Je huyu ni mbuzi kweli?