Na ndio maana wanadharauliwa Sana Mimi nimewafukuza walimu wote waliopanga kwenye nyumba yangu kwa kisingizio Cha ukarabati.
Kwa wataalam was saikolojia watakubaliana na Mimi kuwa huyu mleta Uzi nae ni mwalimu...tena wa masomo ya Sana'a...! Nasema uongo ndugu zangu??
Na ndio maana wanadharauliwa Sana Mimi nimewafukuza walimu wote waliopanga kwenye nyumba yangu kwa kisingizio Cha ukarabati.
Hivi wewe hukufundishwa na mwalimu fulani ulipokuwa shule kusoma na kuandika?,hii ndiyo jaza yako kwa mwalimu wko?Walimu ni miongoni mwa makundi yaliyosaidia kuiba kura za ccm..sina ham nao kabisa
Mkuu nami pia ni mwalimu, tena mwalim mwenye uzoefu wa kutosha na ni graduate ....ila nlichosema hapo juu nakifahamWewe huja
Hivi wewe hukufundishwa na mwalimu fulani ulipokuwa shule kusoma na kuandika?,hii ndiyo jaza yako kwa mwalimu wko?
Haya na iwe hivyo.
Bali mwaka huu sisi hatukuhusishwa kabisaa kwenye mchakato wa kura ,kama ilivyokuwa chaguzi za zamani.
sasa linganisha chaguzi zilizosimamiwa na sisi miaka ya nyuma na huu uliosimamiwa na makada wa CCM mwak huu.
Musituonee jameni,sisi ni watu na tunaumwa sana kwa yanayojiri nchini kwetu, hatuna nguvu tuu
Nakuelewa, lakini kimsingi kesi ya wachache haiwezi kuchukuliwa kwa wote,.Mkuu nami pia ni mwalimu, tena mwalim mwenye uzoefu wa kutosha na ni graduate ....ila nlichosema hapo juu nakifaham
Wako walimu kadhaa hapa waliosimamia uchaguzi uliopita, wanasema wazi uchafu walioufanya aidha kwa sababu ya ukada wao au kupokea maelkezo toka kwa wakurugenzi...
Kwa hivo ni kweli walimu wenzetu walihusika kwa namna moja au nyingine kwa kuiba kura za ccm.
Japo hiyo haikusaidia chochote kwa kutangaza wagombea wa cc kuwa washindi.....
Mialimu ya Tanzania haina akili tena wacha ikomeshwe!!Kwa mujibu wa mwalimu mmoja aliyepo wilaya ya Uyui mkoa wa Tabora ambae yupo likizo kwasasa hapa mkoani Dar es Salaam anasema hivi!
Kipindi cha kuelekea uchaguzi walimu waliambiwa na CWT pamoja na maafisa utumishi wajaze haraka sana fomu za Bibi na bwana salary areas claiming forms ili walipwe madai yao haraka.
Ikumbukwe form hizo kuzipata sio rahisi zimewekewa urasimu Fulani hivi wa kishamba kwa mujibu wa mwalimu huyo.
Walimu ilibidi waingie gharama kuzitafuta fomu hizo wakiamini kwamba watalipwa madai yao kabla ya uchaguzi.
Hamaaaaadi yule mwalimu alipopeleka barua yake ya likizo akaulizia areas zao zimefikia wapi? Akaonyeshwa luuuundo la ile mifomu ikiwa Imejaa vumbi hiyo ndio Asante ya CCM kwa walimu.
Baada ya kuwatumia kama pampasi kuiba kura Sasa hamna thamani teeena.
Five mooooo ooooo Kama mlio wa ng"ombe.
Hahahahahahahahahahahahahaha.. .......Na ndio maana wanadharauliwa Sana Mimi nimewafukuza walimu wote waliopanga kwenye nyumba yangu kwa kisingizio Cha ukarabati.