Duh, kweli CCM ilaaniwe
Hiyo picha kwa haraka haraka nikajua ni mwaka 1960-70, nikaizoom nikitegemea nione gari ni Leyland ama scania zile.
Nakutana na tata kisha namba za usajili ni T.......EAN yaani ni miaka hii hii ya 2020 na kitu.
Barabara, mazingira ni kama miaka ya 50 kweusi huko.