hiyo Picha inatoa tafsiri nyingi tu, na kwa tafsiri yangu ni makzi duni, ya mtu asie na kipato chakutosha, amejenga nyumba kwenye makazi yasio na mpangilio.....na ujue aombi wala kuchukua rushwa
***unauhakika gani?
hana safari fake pale ofisi yake ya Usalama...
***unamaanisha nini?
No wonder...!
Nyumba nzuri sana tuu hiyo.
Ni ya ya tofali na bati, imechapiwa, madirisha makubwa, mapazia, FTA -Antenna kwa juu!
Ungelienda vijijini ndo ungetambua woram sei!
Hi brother nice to read from you again, welcome back.No wonder...!
Nyumba nzuri sana tuu hiyo.
Ni ya ya tofali na bati, imechapiwa, madirisha makubwa, mapazia, FTA -Antenna kwa juu!
Ungelienda vijijini ndo ungetambua woram sei!
nimekusoma!hiyo Picha inatoa tafsiri nyingi tu, na kwa tafsiri yangu ni makzi duni, ya mtu asie na kipato chakutosha, amejenga nyumba kwenye makazi yasio na mpangilio.....
hii inaleta majibu kuwa , kama mkazi huyo ni mtumishi wa umma, atakua wakipato cha chini, yaani kuanzia TGS A HADI TGS C, watumishi hawa mara nyingi hawamo kwenye kasma ya safari, na kama wakisafiri basi ni mara chache, wengi huishi maisha duni kwenye maeneo duni.
niliwahi kuajiliwa katika sekta ya Umma nilipotoka chuo, watumishi wengi hujaza form za safari kisha hawaendi, wanakuja kuretire Imprest kwa kununua receipt...hivyo kama ni mtumishi wa chini hawezi kuwa na uwezo wa kupata kibali cha malipo hayo, hivyo hawezi kuwa na channel ya kipato, hivyo hawezi kujenga nyumba bora, ama kununua vitu vizuri.
Kuomba rushwa ni jambo baya, na kwa watumishi wakima cha chini huomba Rushwa ili kukidhi mahitaji yao, kwa makazi hayo...inanipa imani kama anakula rushwa basi anahongo...mimi nimeassume kuwa other things remain costant.....hivyo ndivyo ninapaswa kusomeka pape
Mkuu nimerudi..u know why, nimegundua kuwa pamoja na yote yaliyotokea, maisha yanaendelea, na ni makali kuliko mwanzo!kaka karibu tena jamvini.pole na msiba...bhagonile kukaja?tulipo malafyale
Mithupu anaishi karibu na tegeta sokoni kwa ndevu....mazingira hayatofautiani sana na hapo!
pole sana kaka! Karibu tena kamvini!Mkuu nimerudi..u know why, nimegundua kuwa pamoja na yote yaliyotokea, maisha yanaendelea, na ni makali kuliko mwanzo!
Huyo huyo alisema katika blog anayoiita ya jamii kwamba anakaa tegeta!Haya bana nakumbuka aliwahi sema anaishi maeneo ya airport sasa sijui kahamia kwa Ndevu
I can read your signature! Its NOT your fault! People like you deserve a massive punishment!Na kama ndiyo?
What is the point of this thread? Kwangu mimi thread hii italeta maana tu kama imelenga kumtania Michuzi kwa sababu nyumba hii ina kamba iliyoanikwa vishati kama vya Michuzi (wadau wanaweza ku verify kama ndiyo vyenyewe au vinafanana tu)
One thing is for sure, kama ndiyo, which I doubt, haa ndiyo yale yale mambo ya ulimbukeni niliyoyasema ya kuangalia kifuko cha jirani kala nini.
Na hata kama siyo, post ina invade privacy ya mtu, kwa maana kuna watu -hata kama hapa si kwa michuzi- watapata impression kwamba ni kwa michuzi.
Kama una utani na Michuzi taniana naye personally, mambo yakifika mtandaoni huwa yana rate ya ajabu ya ku escalate.Next thing you know zealots wa blog ya Michuzi wanaanzisha WWIII na JF. I know Michuzi is too carefree to give a rats behind.