Je, hapa ndipo anapoishi Issa Michuzi?

Pape

JF-Expert Member
Dec 11, 2008
5,489
79
i1659_nyumba2Bya2Bmsutwa.JPG
 
inawezekana, maana Issa ni mtumishi wa umma ambae mshahra wake ni TGS C, TSH 212000/= KWA MWEZI ukiona hivyo kaamua kuishi kwa kutegemea mshahara wake....na ujue aombi wala kuchukua rushwa, hana safari fake pale ofisi yake ya Usalama...habari ndo hiyo
 
na ujue aombi wala kuchukua rushwa
***unauhakika gani?
hana safari fake pale ofisi yake ya Usalama...
***unamaanisha nini?
 
Inawezekana kwani nimetambua hiyo T-shirt ya mchapakazi na mpambanaji (Michuzi) na ninadhani picha hiyo niliiona kwenye blog yake jana na ilipigwa na Dina Marios wa Clouds FM.
 
No wonder...!
Nyumba nzuri sana tuu hiyo.
Ni ya ya tofali na bati, imechapiwa, madirisha makubwa, mapazia, FTA -Antenna kwa juu!
Ungelienda vijijini ndo ungetambua woram sei!
 
na ujue aombi wala kuchukua rushwa
***unauhakika gani?
hana safari fake pale ofisi yake ya Usalama...
***unamaanisha nini?
hiyo Picha inatoa tafsiri nyingi tu, na kwa tafsiri yangu ni makzi duni, ya mtu asie na kipato chakutosha, amejenga nyumba kwenye makazi yasio na mpangilio.....
hii inaleta majibu kuwa , kama mkazi huyo ni mtumishi wa umma, atakua wakipato cha chini, yaani kuanzia TGS A HADI TGS C, watumishi hawa mara nyingi hawamo kwenye kasma ya safari, na kama wakisafiri basi ni mara chache, wengi huishi maisha duni kwenye maeneo duni.
niliwahi kuajiliwa katika sekta ya Umma nilipotoka chuo, watumishi wengi hujaza form za safari kisha hawaendi, wanakuja kuretire Imprest kwa kununua receipt...hivyo kama ni mtumishi wa chini hawezi kuwa na uwezo wa kupata kibali cha malipo hayo, hivyo hawezi kuwa na channel ya kipato, hivyo hawezi kujenga nyumba bora, ama kununua vitu vizuri.
Kuomba rushwa ni jambo baya, na kwa watumishi wakima cha chini huomba Rushwa ili kukidhi mahitaji yao, kwa makazi hayo...inanipa imani kama anakula rushwa basi anahongo...mimi nimeassume kuwa other things remain costant.....hivyo ndivyo ninapaswa kusomeka pape
 
No wonder...!
Nyumba nzuri sana tuu hiyo.
Ni ya ya tofali na bati, imechapiwa, madirisha makubwa, mapazia, FTA -Antenna kwa juu!
Ungelienda vijijini ndo ungetambua woram sei!

kaka karibu tena jamvini.pole na msiba...bhagonile kukaja?tulipo malafyale
 
Sio kweli haishi hapa.
Kwanza flana hizo hazifanani na za Michuzi kabisa
 
Hi brother nice to read from you again, welcome back.
 
hiyo Picha inatoa tafsiri nyingi tu, na kwa tafsiri yangu ni makzi duni, ya mtu asie na kipato chakutosha, amejenga nyumba kwenye makazi yasio na mpangilio.....
hii inaleta majibu kuwa , kama mkazi huyo ni mtumishi wa umma, atakua wakipato cha chini, yaani kuanzia TGS A HADI TGS C, watumishi hawa mara nyingi hawamo kwenye kasma ya safari, na kama wakisafiri basi ni mara chache, wengi huishi maisha duni kwenye maeneo duni.
niliwahi kuajiliwa katika sekta ya Umma nilipotoka chuo, watumishi wengi hujaza form za safari kisha hawaendi, wanakuja kuretire Imprest kwa kununua receipt...hivyo kama ni mtumishi wa chini hawezi kuwa na uwezo wa kupata kibali cha malipo hayo, hivyo hawezi kuwa na channel ya kipato, hivyo hawezi kujenga nyumba bora, ama kununua vitu vizuri.
Kuomba rushwa ni jambo baya, na kwa watumishi wakima cha chini huomba Rushwa ili kukidhi mahitaji yao, kwa makazi hayo...inanipa imani kama anakula rushwa basi anahongo...mimi nimeassume kuwa other things remain costant.....hivyo ndivyo ninapaswa kusomeka pape
nimekusoma!
 
Sio kweli haishi hapa.
Kwanza flana hizo hazifanani na za Michuzi kabisa
Mithupu anaishi karibu na tegeta sokoni kwa ndevu....mazingira hayatofautiani sana na hapo!
 
Inawezekana si unajua watu wengine wanawazuga wezi na vijana wa Hosea nyumba nje mbaaaya ndani kali. Kwanza huoni kuna satelite dish linachungulia kwa mbaaali anapata downlink and uplink yake poa na channels zake za kumwaga nyingi tuu. Ndio maana anakuwa na habari nyingi.
 
kaka karibu tena jamvini.pole na msiba...bhagonile kukaja?tulipo malafyale
Mkuu nimerudi..u know why, nimegundua kuwa pamoja na yote yaliyotokea, maisha yanaendelea, na ni makali kuliko mwanzo!
 
Lakini mafisadi Tanzania wanaishi maisha safiiiiiii!ndio hao wanasema Kidumu Chama cha Mapinduzi.Hata Gavana anatetea kuwa na swimming pool!
Ukienda Keko,Manzese design ya nyumba hizi kibao,na vyoo vya shimo ndio mchezo!
 
Mithupu anaishi karibu na tegeta sokoni kwa ndevu....mazingira hayatofautiani sana na hapo!

Haya bana nakumbuka aliwahi sema anaishi maeneo ya airport sasa sijui kahamia kwa Ndevu
 
Na kama ndiyo?

What is the point of this thread? Kwangu mimi thread hii italeta maana tu kama imelenga kumtania Michuzi kwa sababu nyumba hii ina kamba iliyoanikwa vishati kama vya Michuzi (wadau wanaweza ku verify kama ndiyo vyenyewe au vinafanana tu)

One thing is for sure, kama ndiyo, which I doubt, haya ndiyo yale yale mambo ya ulimbukeni niliyoyasema ya kuangalia kifuko cha jirani kala nini.

Na hata kama siyo, post bado ina invade privacy ya mtu, kwa maana kuna watu -hata kama hapa si kwa michuzi- watapata impression kwamba ni kwa michuzi.

Kama una utani na Michuzi taniana naye personally, mambo yakifika mtandaoni huwa yana rate ya ajabu ya ku escalate.Next thing you know zealots wa blog ya Michuzi wanaanzisha WWIII na JF. I know Michuzi is too carefree to give a rats behind.
 
Mkuu nimerudi..u know why, nimegundua kuwa pamoja na yote yaliyotokea, maisha yanaendelea, na ni makali kuliko mwanzo!
pole sana kaka! Karibu tena kamvini!

Haya bana nakumbuka aliwahi sema anaishi maeneo ya airport sasa sijui kahamia kwa Ndevu
Huyo huyo alisema katika blog anayoiita ya jamii kwamba anakaa tegeta!
 
Na kama ndiyo?

What is the point of this thread? Kwangu mimi thread hii italeta maana tu kama imelenga kumtania Michuzi kwa sababu nyumba hii ina kamba iliyoanikwa vishati kama vya Michuzi (wadau wanaweza ku verify kama ndiyo vyenyewe au vinafanana tu)

One thing is for sure, kama ndiyo, which I doubt, haa ndiyo yale yale mambo ya ulimbukeni niliyoyasema ya kuangalia kifuko cha jirani kala nini.

Na hata kama siyo, post ina invade privacy ya mtu, kwa maana kuna watu -hata kama hapa si kwa michuzi- watapata impression kwamba ni kwa michuzi.

Kama una utani na Michuzi taniana naye personally, mambo yakifika mtandaoni huwa yana rate ya ajabu ya ku escalate.Next thing you know zealots wa blog ya Michuzi wanaanzisha WWIII na JF. I know Michuzi is too carefree to give a rats behind.
I can read your signature! Its NOT your fault! People like you deserve a massive punishment!

About privacy, on JF people dare to talk openly as long as there is a need! He is a front runner in our society unlike Jerry Muro. So let us hit all hot spots!

Would you mind to excuse us if you are offended?
 
Hapo nimmagomeni na imetoka kwa dina blog... tuache hizo, mambo ya nyumbani kwa watu nadhani yamekaa ki-dina na kiudaku zaidi
<input id="gwProxy" type="hidden"><!--Session data--><input onclick="jsCall();" id="jsProxy" type="hidden">
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom