mbagokizega
Senior Member
- Oct 22, 2016
- 111
- 297
nawasalimu ndugu zangu.
imani yangu kwa MUNGU ipo juu kiasi kuna mafundisho tunayofundishwa naona kama hayamuwakilishi MUNGU bali ni upeo finyu wa sie binaadam ktk kutafsiri mafundisho yake ndo kumezaa mikanganyiko mingi.
yapo mambo yanafundishwa na viongozi wetu wa dini ukiyatafakari kwa namna ya ukuu,busara na hekima zake MUNGU unaona kama wakisemacho ni maneno yao tu.kwa mfano mi binafsi yapo mambo yanayonichanganga na kuna wakati najikuta nikiamini tofauti na mafundisho kitokana na jinsi ninavyomuamini MUNGU.
[HASHTAG]#INAWEZEKANA[/HASHTAG] SHETANI KUSAMEHEWA.
nimekuwa nikiamini hivi sababu nmejifunza na nimekubali kwamba hakuna mwenye huruma na anayewakosea wakosefu kama MUNGU.yeye hutufundisha wanaye kusamehe waliotukosea na ametuonya ktk vitabu vyote kwamba tusiwekeane vinyongo.ndo hapa mi naamini kwamba shetani akitambua kosa lake na akaacha kiburi na kumuomba msamaha Baba atasamehewa kwasababu yeye ndiye muongozo wake kwamba anasamehe kwa wanaotubu.
watu wanaoamini kwamba shetani hawezi kusamehewa akiomba msamaha basi watu hao wanaamini kwamba MUNGU ana sifa ya kuweka kinyongo kitu ambacho mi nakataa hats aje nani kwa jinsi nnavyomtafsiri MUNGU.
2.HUKUMU YA SHETANI.
duniani zipo mahakama zinazosimamia haki lkn zimekuwa kilio kwa wanyonge ndomana upo msemo maarufu duniani usemao "HAKI MBINGUNI"
mafundisho ya dini pia yanatufundisha kwamba huko mbinguni kutakuwa na kusomewa mashitaka na kupema hukumu "SIKU YA HUKUMU/KIAMA" hapa ndipo nnapofikiri tofauti kwa jinsi ninavyomuamini MUNGU kuwa ndiye mtenda haki huwa siamini kwamba shetani atachomwa moto,siamini hivyo sababu ya kwamba yule shetani aliyemfanyia kiburi MUNGU amezaa akapata watoto vikapita vizazi na vizazi hivyo kwakuwa MUNGU ni mtoa haki naamini atakayeadhibiwa ni yule mwovu aliyekaidi amri ya MUNGU na atawapa haki yao vizazi vyake vingine sababu vyenyewe havikuhusika ktk kumkaidi MUNGU
ktk mafundisho MUNGU anatufundisha kwamba kwa uweza wake ndo huamua kuumba mmea.mnyama na vinginevyo NI kama ilivyompendeza kuniumba mi na wewe kuwa binaadam watoto wa wazazi hawa waliotuzaa ndivyo ilivyotokea kwa vizazi hivi vya shetani kwa maana hakuna anayechagua azaliwe na mzazi gani au awe kiumbe gani.kwa hoja hiyo siku hiyo ktk mahakama ninayoamini itatenda haki kuliko mahakama zote haiwezi kuwahukumu vizazi vya mwovu shetani kuishi ktk moto kwa makosa ya mzazi wao.
MTU ambaye anaamini kitahukumiwa kizazi kizima cha shetani kwa maoni yangu naamini MTU huyo amtendei haki MUNGU na haamini kwamba Mahakama itakayotoa haki kwa usahihi ni yake MUNGU PEKEE.
hata hapa duniani kwenye mahakama zilizojaa rushwa,uonevu,kulindana na uvundo mwengine haijapata kutokea mtu kutuhumiwa kwa makosa ya wazazi wake.watoto wa Osama wapo uraiani,watoto wa Pablo Escobar wapo iweje MUNGU azidiwe ufanisi na mahakama hizi ikiwa tunasema ye ndo mtoa haki??.
MUNGU WANGU HANA VINYONGO NI MSAMEHEVU NA ANA UPENDO.YEYE NI ZAIDI YA ANAVYONIFUNDISHA MIMI KUWA.
MAHAKAMA YAKE MUNGU NINAYEMWAMINI NDIO MAHAKAMA ITOAYO HAKI.
waalimu wa dini na wenzangu ktk imani ya juu kwa MUNGU mnaweza kunielekeza zaidi.