Je, haiwezekani shetani kusamehewa?

mbagokizega

Senior Member
Oct 22, 2016
111
500
nawasalimu ndugu zangu.

imani yangu kwa MUNGU ipo juu kiasi kuna mafundisho tunayofundishwa naona kama hayamuwakilishi MUNGU bali ni upeo finyu wa sie binaadam ktk kutafsiri mafundisho yake ndo kumezaa mikanganyiko mingi.

yapo mambo yanafundishwa na viongozi wetu wa dini ukiyatafakari kwa namna ya ukuu,busara na hekima zake MUNGU unaona kama wakisemacho ni maneno yao tu.kwa mfano mi binafsi yapo mambo yanayonichanganga na kuna wakati najikuta nikiamini tofauti na mafundisho kitokana na jinsi ninavyomuamini MUNGU.

[HASHTAG]#INAWEZEKANA[/HASHTAG] SHETANI KUSAMEHEWA.
nimekuwa nikiamini hivi sababu nmejifunza na nimekubali kwamba hakuna mwenye huruma na anayewakosea wakosefu kama MUNGU.yeye hutufundisha wanaye kusamehe waliotukosea na ametuonya ktk vitabu vyote kwamba tusiwekeane vinyongo.ndo hapa mi naamini kwamba shetani akitambua kosa lake na akaacha kiburi na kumuomba msamaha Baba atasamehewa kwasababu yeye ndiye muongozo wake kwamba anasamehe kwa wanaotubu.

watu wanaoamini kwamba shetani hawezi kusamehewa akiomba msamaha basi watu hao wanaamini kwamba MUNGU ana sifa ya kuweka kinyongo kitu ambacho mi nakataa hats aje nani kwa jinsi nnavyomtafsiri MUNGU.

2.HUKUMU YA SHETANI.

duniani zipo mahakama zinazosimamia haki lkn zimekuwa kilio kwa wanyonge ndomana upo msemo maarufu duniani usemao "HAKI MBINGUNI"
mafundisho ya dini pia yanatufundisha kwamba huko mbinguni kutakuwa na kusomewa mashitaka na kupema hukumu "SIKU YA HUKUMU/KIAMA" hapa ndipo nnapofikiri tofauti kwa jinsi ninavyomuamini MUNGU kuwa ndiye mtenda haki huwa siamini kwamba shetani atachomwa moto,siamini hivyo sababu ya kwamba yule shetani aliyemfanyia kiburi MUNGU amezaa akapata watoto vikapita vizazi na vizazi hivyo kwakuwa MUNGU ni mtoa haki naamini atakayeadhibiwa ni yule mwovu aliyekaidi amri ya MUNGU na atawapa haki yao vizazi vyake vingine sababu vyenyewe havikuhusika ktk kumkaidi MUNGU

ktk mafundisho MUNGU anatufundisha kwamba kwa uweza wake ndo huamua kuumba mmea.mnyama na vinginevyo NI kama ilivyompendeza kuniumba mi na wewe kuwa binaadam watoto wa wazazi hawa waliotuzaa ndivyo ilivyotokea kwa vizazi hivi vya shetani kwa maana hakuna anayechagua azaliwe na mzazi gani au awe kiumbe gani.kwa hoja hiyo siku hiyo ktk mahakama ninayoamini itatenda haki kuliko mahakama zote haiwezi kuwahukumu vizazi vya mwovu shetani kuishi ktk moto kwa makosa ya mzazi wao.

MTU ambaye anaamini kitahukumiwa kizazi kizima cha shetani kwa maoni yangu naamini MTU huyo amtendei haki MUNGU na haamini kwamba Mahakama itakayotoa haki kwa usahihi ni yake MUNGU PEKEE.

hata hapa duniani kwenye mahakama zilizojaa rushwa,uonevu,kulindana na uvundo mwengine haijapata kutokea mtu kutuhumiwa kwa makosa ya wazazi wake.watoto wa Osama wapo uraiani,watoto wa Pablo Escobar wapo iweje MUNGU azidiwe ufanisi na mahakama hizi ikiwa tunasema ye ndo mtoa haki??.

MUNGU WANGU HANA VINYONGO NI MSAMEHEVU NA ANA UPENDO.YEYE NI ZAIDI YA ANAVYONIFUNDISHA MIMI KUWA.

MAHAKAMA YAKE MUNGU NINAYEMWAMINI NDIO MAHAKAMA ITOAYO HAKI.

waalimu wa dini na wenzangu ktk imani ya juu kwa MUNGU mnaweza kunielekeza zaidi.
 
gambagumu

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
959
1,000
Kuna makosa hata katika mahakama za kibinadamu hayasemehewi ukishahukumiwa. Life Sentence with no possibility of parole
 
mbagokizega

Senior Member
Oct 22, 2016
111
500
Kuna makosa hata katika mahakama za kibinadamu hayasemehewi ukishahukumiwa. Life Sentence with no possibility of parole
hivyo MUNGU kaweka kinyongo?.

hapana huyo sio huyu MUNGu anayetuhimiza kuwasamehe waliotukosea ashindwe kusamehe waliomkosea yeye
 
Dec 16, 2016
47
95
nawasalimu ndugu zangu.

imani yangu kwa MUNGU ipo juu kiasi kuna mafundisho tunayofundishwa naona kama hayamuwakilishi MUNGU bali ni upeo finyu wa sie binaadam ktk kutafsiri mafundisho yake ndo kumezaa mikanganyiko mingi.

yapo mambo yanafundishwa na viongozi wetu wa dini ukiyatafakari kwa namna ya ukuu,busara na hekima zake MUNGU unaona kama wakisemacho ni maneno yao tu.kwa mfano mi binafsi yapo mambo yanayonichanganga na kuna wakati najikuta nikiamini tofauti na mafundisho kitokana na jinsi ninavyomuamini MUNGU.

[HASHTAG]#INAWEZEKANA[/HASHTAG] SHETANI KUSAMEHEWA.
nimekuwa nikiamini hivi sababu nmejifunza na nimekubali kwamba hakuna mwenye huruma na anayewakosea wakosefu kama MUNGU.yeye hutufundisha wanaye kusamehe waliotukosea na ametuonya ktk vitabu vyote kwamba tusiwekeane vinyongo.ndo hapa mi naamini kwamba shetani akitambua kosa lake na akaacha kiburi na kumuomba msamaha Baba atasamehewa kwasababu yeye ndiye muongozo wake kwamba anasamehe kwa wanaotubu.

watu wanaoamini kwamba shetani hawezi kusamehewa akiomba msamaha basi watu hao wanaamini kwamba MUNGU ana sifa ya kuweka kinyongo kitu ambacho mi nakataa hats aje nani kwa jinsi nnavyomtafsiri MUNGU.

2.HUKUMU YA SHETANI.

duniani zipo mahakama zinazosimamia haki lkn zimekuwa kilio kwa wanyonge ndomana upo msemo maarufu duniani usemao "HAKI MBINGUNI"
mafundisho ya dini pia yanatufundisha kwamba huko mbinguni kutakuwa na kusomewa mashitaka na kupema hukumu "SIKU YA HUKUMU/KIAMA" hapa ndipo nnapofikiri tofauti kwa jinsi ninavyomuamini MUNGU kuwa ndiye mtenda haki huwa siamini kwamba shetani atachomwa moto,siamini hivyo sababu ya kwamba yule shetani aliyemfanyia kiburi MUNGU amezaa akapata watoto vikapita vizazi na vizazi hivyo kwakuwa MUNGU ni mtoa haki naamini atakayeadhibiwa ni yule mwovu aliyekaidi amri ya MUNGU na atawapa haki yao vizazi vyake vingine sababu vyenyewe havikuhusika ktk kumkaidi MUNGU

ktk mafundisho MUNGU anatufundisha kwamba kwa uweza wake ndo huamua kuumba mmea.mnyama na vinginevyo NI kama ilivyompendeza kuniumba mi na wewe kuwa binaadam watoto wa wazazi hawa waliotuzaa ndivyo ilivyotokea kwa vizazi hivi vya shetani kwa maana hakuna anayechagua azaliwe na mzazi gani au awe kiumbe gani.kwa hoja hiyo siku hiyo ktk mahakama ninayoamini itatenda haki kuliko mahakama zote haiwezi kuwahukumu vizazi vya mwovu shetani kuishi ktk moto kwa makosa ya mzazi wao.

MTU ambaye anaamini kitahukumiwa kizazi kizima cha shetani kwa maoni yangu naamini MTU huyo amtendei haki MUNGU na haamini kwamba Mahakama itakayotoa haki kwa usahihi ni yake MUNGU PEKEE.

hata hapa duniani kwenye mahakama zilizojaa rushwa,uonevu,kulindana na uvundo mwengine haijapata kutokea mtu kutuhumiwa kwa makosa ya wazazi wake.watoto wa Osama wapo uraiani,watoto wa Pablo Escobar wapo iweje MUNGU azidiwe ufanisi na mahakama hizi ikiwa tunasema ye ndo mtoa haki??.

MUNGU WANGU HANA VINYONGO NI MSAMEHEVU NA ANA UPENDO.YEYE NI ZAIDI YA ANAVYONIFUNDISHA MIMI KUWA.

MAHAKAMA YAKE MUNGU NINAYEMWAMINI NDIO MAHAKAMA ITOAYO HAKI.

waalimu wa dini na wenzangu ktk imani ya juu kwa MUNGU mnaweza kunielekeza zaidi.
Satan Seeks Reinstatement
Satan trembled as he viewed his work. He was alone in meditation upon the past, the present, and his future plans. His mighty frame shook as with a tempest. An angel from heaven was passing. He called him and entreated an interview with Christ. This was granted him. He then related to the Son of God that he repented of his rebellion and wished again the favor of God. He was willing to take the place God had previously assigned him, and be under His wise command. Christ wept at Satan’s woe but told him, as the mind of God, that he could never be received into heaven. Heaven must not be placed in jeopardy. All heaven would be marred should he be received back, for sin and rebellion originated with him. The seeds of rebellion were still within him. He had, in his rebellion, no occasion for his course, and he had hopelessly ruined not only himself but the host of angels also, who would then have been happy in heaven had he remained steadfast. The law of God could condemn but could not pardon. SR 26.1
He repented not of his rebellion because he saw the goodness of God which he had abused. It was not possible that his love for God had so increased since his fall that it would lead to cheerful submission and happy obedience to His law which had been despised. The wretchedness he realized in losing the sweet light of heaven, and the sense of guilt which forced itself upon him, and the disappointment he experienced himself in not finding his expectation realized, were the cause of his grief. To be commander out of heaven was vastly different from being thus honored in heaven. The loss he had sustained of all the privileges of heaven seemed too much to be borne. He wished to regain these. SR 26.2
 
Blood of Jesus

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
1,212
2,000
HAIWEZEKANIakasamehewa. Adhabu ya shetani ishatangazwa na Mungu Mwenyezi.

"Na yule ibilisi, mwenye kuwadanganya, akatupwa katika ziwa la moto na kiberiti, alimo yule mnyama na yule nabii wa uongo. Nao watateswa mchana na usiku hata milele na milele". UFUNUO 20:10.
 
mbagokizega

Senior Member
Oct 22, 2016
111
500
Imani yako ni ipi hiyo? Universalism ama?
vyovyote utakavyoniita mkuu lkn namuamini Mungu.

yeye anayetufundisha kusamehe wengine sitaki kuamini kwamba ye atashindwa kusamehe waliomkosea.

yote anayotufundisha kuenenda yeye ni m'bora zaidi ktk hayo.

yeye ana UPENDO
anasamehe
anafariji n.k

kuamini kinyume na hivi ni kuamini kuwa kuna binaadamu bora kuliko MUNGU mana wapo waliowasamehe watu waliowakosea.

MUNGU HUYU MKUU ATASHINDWAJE?
 
MTS

Senior Member
Mar 29, 2016
167
250
Mkuu
nawasalimu ndugu zangu.

imani yangu kwa MUNGU ipo juu kiasi kuna mafundisho tunayofundishwa naona kama hayamuwakilishi MUNGU bali ni upeo finyu wa sie binaadam ktk kutafsiri mafundisho yake ndo kumezaa mikanganyiko mingi.

yapo mambo yanafundishwa na viongozi wetu wa dini ukiyatafakari kwa namna ya ukuu,busara na hekima zake MUNGU unaona kama wakisemacho ni maneno yao tu.kwa mfano mi binafsi yapo mambo yanayonichanganga na kuna wakati najikuta nikiamini tofauti na mafundisho kitokana na jinsi ninavyomuamini MUNGU.

[HASHTAG]#INAWEZEKANA[/HASHTAG] SHETANI KUSAMEHEWA.
nimekuwa nikiamini hivi sababu nmejifunza na nimekubali kwamba hakuna mwenye huruma na anayewakosea wakosefu kama MUNGU.yeye hutufundisha wanaye kusamehe waliotukosea na ametuonya ktk vitabu vyote kwamba tusiwekeane vinyongo.ndo hapa mi naamini kwamba shetani akitambua kosa lake na akaacha kiburi na kumuomba msamaha Baba atasamehewa kwasababu yeye ndiye muongozo wake kwamba anasamehe kwa wanaotubu.

watu wanaoamini kwamba shetani hawezi kusamehewa akiomba msamaha basi watu hao wanaamini kwamba MUNGU ana sifa ya kuweka kinyongo kitu ambacho mi nakataa hats aje nani kwa jinsi nnavyomtafsiri MUNGU.

2.HUKUMU YA SHETANI.

duniani zipo mahakama zinazosimamia haki lkn zimekuwa kilio kwa wanyonge ndomana upo msemo maarufu duniani usemao "HAKI MBINGUNI"
mafundisho ya dini pia yanatufundisha kwamba huko mbinguni kutakuwa na kusomewa mashitaka na kupema hukumu "SIKU YA HUKUMU/KIAMA" hapa ndipo nnapofikiri tofauti kwa jinsi ninavyomuamini MUNGU kuwa ndiye mtenda haki huwa siamini kwamba shetani atachomwa moto,siamini hivyo sababu ya kwamba yule shetani aliyemfanyia kiburi MUNGU amezaa akapata watoto vikapita vizazi na vizazi hivyo kwakuwa MUNGU ni mtoa haki naamini atakayeadhibiwa ni yule mwovu aliyekaidi amri ya MUNGU na atawapa haki yao vizazi vyake vingine sababu vyenyewe havikuhusika ktk kumkaidi MUNGU

ktk mafundisho MUNGU anatufundisha kwamba kwa uweza wake ndo huamua kuumba mmea.mnyama na vinginevyo NI kama ilivyompendeza kuniumba mi na wewe kuwa binaadam watoto wa wazazi hawa waliotuzaa ndivyo ilivyotokea kwa vizazi hivi vya shetani kwa maana hakuna anayechagua azaliwe na mzazi gani au awe kiumbe gani.kwa hoja hiyo siku hiyo ktk mahakama ninayoamini itatenda haki kuliko mahakama zote haiwezi kuwahukumu vizazi vya mwovu shetani kuishi ktk moto kwa makosa ya mzazi wao.

MTU ambaye anaamini kitahukumiwa kizazi kizima cha shetani kwa maoni yangu naamini MTU huyo amtendei haki MUNGU na haamini kwamba Mahakama itakayotoa haki kwa usahihi ni yake MUNGU PEKEE.

hata hapa duniani kwenye mahakama zilizojaa rushwa,uonevu,kulindana na uvundo mwengine haijapata kutokea mtu kutuhumiwa kwa makosa ya wazazi wake.watoto wa Osama wapo uraiani,watoto wa Pablo Escobar wapo iweje MUNGU azidiwe ufanisi na mahakama hizi ikiwa tunasema ye ndo mtoa haki??.

MUNGU WANGU HANA VINYONGO NI MSAMEHEVU NA ANA UPENDO.YEYE NI ZAIDI YA ANAVYONIFUNDISHA MIMI KUWA.

MAHAKAMA YAKE MUNGU NINAYEMWAMINI NDIO MAHAKAMA ITOAYO HAKI.

waalimu wa dini na wenzangu ktk imani ya juu kwa MUNGU mnaweza kunielekeza zaidi.
Mkuu wewe ndo utakua wa kwanza kumsamehe shetani
 
Werrason

JF-Expert Member
Nov 5, 2014
12,335
2,000
HAIWEZEKANIakasamehewa. Adhabu ya shetani ishatangazwa na Mungu Mwenyezi.

"Na yule ibilisi, mwenye kuwadanganya, akatupwa katika ziwa la moto na kiberiti, alimo yule mnyama na yule nabii wa uongo. Nao watateswa mchana na usiku hata milele na milele". UFUNUO 20:10.
Mnyama ni yupi na nabii wa uwongo ni yupi?
 
habari ya hapa

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
12,800
2,000
mkuu wewe endelea kutenda haki tu ktk maisha yako, kwani hutapoteza kitu km uzima upo MUNGU atakupa,
suala la uwepo wa SHETANI au kutokuwepo kwa SHETANI ni SIRI YA MUNGU, hakuna binadamu ajuaye,
fanya wajibu wako,
 
Stefano Mtangoo

Verified Member
Oct 25, 2012
4,137
2,000
vyovyote utakavyoniita mkuu lkn namuamini Mungu.

yeye anayetufundisha kusamehe wengine sitaki kuamini kwamba ye atashindwa kusamehe waliomkosea.

yote anayotufundisha kuenenda yeye ni m'bora zaidi ktk hayo.

yeye ana UPENDO
anasamehe
anafariji n.k

kuamini kinyume na hivi ni kuamini kuwa kuna binaadamu bora kuliko MUNGU mana wapo waliowasamehe watu waliowakosea.

MUNGU HUYU MKUU ATASHINDWAJE?
Unajua unawaza mungu ambaye hayupo. Sasa kama unawaza kitu ambacho hakipo kinawezaje kusamehe? mungu wako huyo hajawahi muumba shetani wala shetani hajawahi mkosea mungu wako wa kufikirika. Sasa kwa nini udhanie ameshindwa kusamehe?

Mungu aliyemuumba shetani hawezi kumsamehe shetani kama ambavyo hakimu mzuri hawezi kumsamehe mbakaji au muuaji. Yamekuelea?
 
dist111

JF-Expert Member
Nov 29, 2012
3,285
2,000
Ndo maana waislam tunaamini katika kadari na kudra, yaani kuna ambalo mungu amempamgia binaadamu ila binaadamu anauwezo wa kulibadilisha akimuomba mungu ambadilishie,
Ingawa kwa maana hiyo shetani pia anaweza kubadilika, ila itakuwa too late kwake kubadilisha maana amejiona yuko juu ya mungu so hawez omba mungu toba.
ila its a posibility na akifanya hivo tutaishi kwa raha sana, nadhani hata maana ya kudead/kuugua/kusali/kuswali haitokuwepo sasa sijui ttutaishi kwa lengo gani?!
 
Blood of Jesus

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
1,212
2,000
Mnyama ni yupi na nabii wa uwongo ni yupi?
Ibilisi nae yuko ktk u-3.
1-mnyama (huyu anahusika na ile chapa ya 666.
2-nabii wa uongo (roho itendayo kazi hata sasa kuwadanganya wanadamu)
3-Joka (ibilisi mwenyewe).

Kabla Ibilisi hajatupwa kwenye lile ziwa la moto, mnyama na nabii wa uongo watamtangulia.
"Yule mnyama akakamatwa, na yule nabii wa uongo pamoja naye, yeye aliyezifanya hizo ishara mbele yake,ambazo kwa hizo aliwadanganya watu wale walioipokea ile chapa ya huyo mnyama,nao walioisujudia sanamu yake; hao wawili wakatupwa wangali hai katika lile ziwa la moto liwakalo kwa kiberiti;..." UFUNUO 19:20.
 
Ahsante mkuu, Ubarikiwe mtumishi.
 
displayname

JF-Expert Member
Feb 15, 2013
1,737
2,000
HAIWEZEKANIakasamehewa. Adhabu ya shetani ishatangazwa na Mungu Mwenyezi.

"Na yule ibilisi, mwenye kuwadanganya, akatupwa katika ziwa la moto na kiberiti, alimo yule mnyama na yule nabii wa uongo. Nao watateswa mchana na usiku hata milele na milele". UFUNUO 20:10.
Yohana : Mlango 16

11 kwa habari ya hukumu, kwa sababu yule mkuu wa ulimwengu huu amekwisha kuhukumiwa.
 
Sakasaka Mao

JF-Expert Member
Sep 29, 2016
6,031
2,000
HAIWEZEKANIakasamehewa. Adhabu ya shetani ishatangazwa na Mungu Mwenyezi.

"Na yule ibilisi, mwenye kuwadanganya, akatupwa katika ziwa la moto na kiberiti, alimo yule mnyama na yule nabii wa uongo. Nao watateswa mchana na usiku hata milele na milele". UFUNUO 20:10.
Sasa alitupwa ziwa la moto na kiberiti na kuendelea kutumikia adhabu yake ya milele kwa kumuasi Mungu. Je anatokaje jehanamu na kuja "uraiani" kupotosha na kudanganya watu?
Muda wa kutoka jehanamu, kibali hicho cha likizo anapewa na nani?
Kama ni muasi na jehanamu ni sehemu ya mateso, anafanyaje shughuli zake na kurejea sehemu ya mateso? Na siku ya kiama atahukumiwa au hatahukumiwa?
Kwa binadamu mwenye utashi wa kuweza kutafiti lazima awaze kutathimini mafundisho anayojazwa kichwani mwake. Hakuna kosa lolote kutafakari jambo.
 
AGOLA

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,346
2,000
Hata Shetani mwenyewe hawezi kuomba msamaha kwani mlango wa Rehema ulishafungwa kwake,muda wake wa kuomba msamaha haupo tena maana ukumuyake tayari,alishaukumiwa kabisa ziwa la moto inamuhusu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom