Je, haiwezekani shetani kusamehewa?

Swali lako gumu sana inawezekana shetani hakuumbwa na mungu!
Swali lake siyo gumu bali mafundisho ya dini ndiyo yanayokanganya. Pia ukianza kutathimini mafundisho hayo ndiyo unaanza kujiuliza kama unavyosema wewe kwamba; hivi kweli shetani aliumbwa na Mungu?
Kama aliumbwa na Mungu, baada ya maasi ilishindikanaje kuangamizwa moja kwa moja?
Je kweli alitupwa jehanamu? Je siku ya kiama atahukumiwa tena kwa kosa lake hilo alilotiwa nalo hatiani? Je kama wakosefu wanatupwa jehanamu la moto baada ya kufariki, siku ya kiama wataopolewa kwanza motoni ili waje kuhukumiwa? kama sivyo, kiama ni siku ya hukumu kweli? Je kuna kiama cha jumla ama kiama ni siku mtu anafariki na kupata hukumu yake kutokana na matendo yake?
Mafundisho ya dini yana contradiction sana. Na ukitaka kuuliza maswali ya kuchanganua namna hii, wanakugeuka ili usiendekee kuchimbua.
 
Daaaa mkuu hiyo issue hata mimi nilikuwa naifikiriaga saaaana, na sijapata majibu hadi leo hii
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom