Je Godbless Lema anasifa za kugombea tena Ubunge Arusha Mjini? Msaada wa Kisheria Please!

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
803
Ningependa kwa wale wenzetu wenye uelewa mkubwa wa kisheria watujuze juu ya hili. wasiwasi wangu ni kwamba Dr. Batrida Buriani atamfungulia kesi ya udhalilishaji na madai kwa reference ya hukumu iliyosomwa leo mahakama kuu ya Arusha. kwa wajuao tunaomba mtufafanulie.
NGUVU YA UMMA ITASHINDA!
 
Batilda hajawahi kumshitaki Lema...Yeye alikubali kushindwa, na hana Ubaya!
Useme haohao akina Mama waliofungua kesi ya awali sasa watafungua ya madai ya kudhalilishiwa mke wao!
 
mahakama imemruhusu kugombea.
Hakuna prudent man anayeweza kutumia precedent ya kesi hii milele.
 
Back
Top Bottom