Je, Gerson Msigwa na Peter Msigwa ni ndugu?

Je, Gerson Msigwa na Peter Msigwa ni ndugu?

Ndugu zanguni naombwa nifahamishwe je Gerson Msigwa aliyewahi kuwa mbunge wa Iringa 2010--2020 na Ndugu Gerson Msigwa Msemaji Mkuu wa Serikali, msemaji wa rais kwa Sasa ni Ndugu?

Kama ni Ndugu, Je ni ndugu wa namna gani? Ni ndugu kwa maana wa damu(baba moja mama moja) Ni ndugu kwa maana mtoto wa baba mkubwa na mdogo au ni Ndugu wa ukoo tu.

Natamani nijue hili ili nitatue jambo lililo moyoni mwangu, kwa maana kama ni ndugu wanawezaje kumaintain mmoja kufanya kazi serikarini tena akiwa karibu kabisa na Rais mwingine akiwa mpinzani aliyekuwa akipitia madhia kutoka kwa Ofisi ambayo ndugu mtu ndio anaifanyia kazi?

Kama ni Ndugu kweli wanawezaje kumaintain kwa kutokutoa siri zao, Gerson za pale jumba jeupe; Peter za pale kwa Mbowe maana ni mjumbe pindi wakikutana kama Ndugu, au kuwasiliana.

Ni maswali mengi ila kubwa kwanza naombwa nifahamishwe jambo hili tu; je hao kina Msigwa wawili ni Ndugu?

Kuuliza sio Ujinga.

Cc Zero IQ
Hawana uhusiano wowote
P Msigwa-Mbena.....Njombe Kaungaunga Afrika kusini kupitia scholarship ya divinity na elimu dunia ya kiwango kidogo ijapokuwa anaiita digrii.

G Msigwa-Mngoni.....Ruvuma.....Kabukua Mtwango Sec/Songea boys na UDSM-IJMC. Mwanzoni alipoteuliawa na JPM alikuwanaonesha umahiri mkubwa lakini sasa hivi anajazwa kusema asichokiamini ndio maana inampa shida kukabiliana na changamoto za kukabiliana na malalamiko ya vijana
  • Generation Names
    • The Greatest Generation – born 1901-1927.. (GreGen)
    • The Silent Generation – born 1928-1945. ... (SilGen)
    • The Baby Boomer Generation – born 1946-1964. ...(BaBoGen)
    • Generation X – born 1965-1980. ...(Gen X)
    • Millennials – born 1981-1996. ...(Millenia)
    • Generation Z – born 1996-2012. ...(Gen Z)
    • Gen Alpha – born 2013 – 2025......(Gen A
 
Nadhani hawana undugu ni majina tu, ila kuna reporter wa ITV yuko Ruvuma amefanana fanana na Gerson nadhani watakuwa ndugu kwasababu nae surname yake ni Msigwa.
Siyo ndugu mkuu ni majina wapangwa wako wengi akina Msigwa kama vile wangoni akina Mapunda,Ndunguru,Chake,Ngatunga nk
 
Hawana uhusiano wowote
P Msigwa-Mbena.....Njombe Kaungaunga Afrika kusini kupitia scholarship ya divinity na elimu dunia ya kiwango kidogo ijapokuwa anaiita digrii.

G Msigwa-Mngoni.....Ruvuma.....Kabukua Mtwango Sec/Songea boys na UDSM-IJMC. Mwanzoni alipoteuliawa na JPM alikuwanaonesha umahiri mkubwa lakini sasa hivi anajazwa kusema asichokiamini ndio maana inampa shida kukabiliana na changamoto za kukabiliana na malalamiko ya vijana
  • Generation Names
    • The Greatest Generation – born 1901-1927.. (GreGen)
    • The Silent Generation – born 1928-1945. ... (SilGen)
    • The Baby Boomer Generation – born 1946-1964. ...(BaBoGen)
    • Generation X – born 1965-1980. ...(Gen X)
    • Millennials – born 1981-1996. ...(Millenia)
    • Generation Z – born 1996-2012. ...(Gen Z)
    • Gen Alpha – born 2013 – 2025......(Gen A
Msigwa siyo Mngoni ni Mpangwa songea waliishi tu kwao ni mkoa wa mjomba.watu wa iringa hasa wajinga,wapangwa na wabena wako wengi ruvuma.wilaya ya Madaba ni mpakani na njombe hivyo kuna mwingiliano mkuu.miaka ya nyuma wangoni walikuwa wanawaajili wapangwa kulima mashamba yao pia kazi za kupasua mbao.
 
Back
Top Bottom