Je, George Floyd ni mtume?

Unaweza kuwataja hao mitume 125 au kutupa ushahidi tunapata wapi hiko ulichotuandikia ?

Kwahiyo tunakubaliana ya kuwa mtume lazima apewe muongozo, hasa kitabu ? Sasa huyu sasa huyu uliyemzungumzia mbona hana sifa zote hizi ?
Umejuaje kama hana sifa zote,unataka awe na sifa gani?
 
Akibaguliwa mwenzio kwa kuwa yeye black.......unadhani wewe ambaye ni black kama yeye utakuwa salama ?
Kabisa, nina miezi kadhaa toka nifanikiwe kutua Minnesota ila tunabaguana sisi kwa sisi kutoka Africa.
.
marafiki zangu wakubwa ni wahindi, walatin na wazungu, kuna jamaa ni mganda mweusi tiiiiii ila ananiletea pigo za kiwaki naanzaje sasa kumtaka niwaache walatin walionikumbusha silk yangu ya kuzaliwa kwa Kiswahili na kuniangusha kwenye mabarafu?
 
Wengi wa waandamanaji hawamjui hatร  huyo George Flyod ni Nani lakini Kuna nguvu zinawasukuma wakaandamane..

ndio ujue wengi wao wanaishi kimihemko na kufata mikumbo, hilo tatizo kubwa sana nchi za kimagharibi

Hao wanaoandamana walikua wapi wakati watu wanakufa Syria? Burma? Sudan ya kusini?
Hapo Bongo tu ndani ya miaka mitano hii wangapi washapotea? Yalio mkuta lisa ni yakawaida? mbona hatujawahi kuona maanndamano japo kwenye balozi za TZ?

Jamaa ni kweli alionewa, lakini hayo wanayotenda walimwengu baada yalile tukio ni upuuzi
 
Kwa mujibu wa Quran tukufu(maneno ya Mungu)
Na kama muislam huwezi kuwa muislam mpaka uamini Muhammad ni mtume wa Mungu na ni wa mwisho
Kwa majibu wa nani ? Una uhakika gani na hicho unacho kuongea kama kina ukweli au la ...!? Maana isije ikawa ume karilishwa tu hivyo then na wewe ukaamini moja kwa moja
 

Mkuu waafrika au watu weusi sisi wenyewe ni wabaguzi mno, tunabagua watu wa jamii nyengine pamoja na kubaguana wenyewe kwa wenyewe. pamoja hao ma black America wanatubagua sisi tuliopo Africa. Lakini inapotokea mtu mweusi kubaguliwa na watu wa jamii nyengine ndio kimbembe kinapoanza cha kulalamika na kutilisha huruma.
 
Chini ya kapeti inasemakana kuwa lijamaa lilikuwa libandidu lililo kubuhu tena liliwahi fungwa miaka5 kwa unyang'anyi, wee ona hata sura yake imekaa ki-bandidu bandidu, ila cha kusikitisha limekuja uwawa na polisi mzee na falla kabisa tena kwa kunyimwa pumzi ( kukabwa) !
 
Mtume ndiye muislam wa kwanza. imekuwaje hao wengine nao ni mitume wa kiislam mkuu
 


Kumbe BBC nao Wana mawazo Kama yangu,asiefahamu ujumbe wa MUNGU kupitia kwa Mtume George Flyod Basi inabidi atafakari
 
Mtume ndiye muislam wa kwanza. imekuwaje hao wengine nao ni mitume wa kiislam mkuu
Kwanza Unatakiwa ujue nini maana ya neno ISLAM,hili ni neno la lugha ya Kiarabu..

Ukijua maana ya neno ISLAM,utakuta kuwa Ibrahim kahuhiri uislam,YESU kahuhiri Uislam, Muhamad kahuhiri UISLAM..
 
Mkuu huyo floyd sijui mbona ni mcheza filamu za pornal,sasa na huo utume anahusiana nao vip hapo
 
Acha kufata maneno ya kuzusha bwashee.akuna cctv wala nini dareva wa lisu anajua mchezo mzima aje utoe somo
Subiri, muda utaongea.
Mnahangaika Sana, fundi na dereva wanarudi siku si nyingi. Madudu yenu yatajulikana mikutano ya kampeni ikianza. Lala tu, hujui chochote.
 
Kwanza Unatakiwa ujue nini maana ya neno ISLAM,hili ni neno la lugha ya Kiarabu..

Ukijua maana ya neno ISLAM,utakuta kuwa Ibrahim kahuhiri uislam,YESU kahuhiri Uislam, Muhamad kahuhiri UISLAM..
Alafu mbona mnapenda kumtajataja Yesu wetu wakati nyie hatumtaji mbakaji wenu?! Aliyetatua marinda ya mabinti wa miaka 9.
 
kama ni hivo hata Tz ccm ijue tuna mtume Lissu
 
Subiri, muda utaongea.
Mnahangaika Sana, fundi na dereva wanarudi siku si nyingi. Madudu yenu yatajulikana mikutano ya kampeni ikianza. Lala tu, hujui chochote.
kwanini msimkamate yule Dr. wa mifugo Mollel si mnadai amewaambia ukweli kuhusu Lissu,au kwa sababu yupo upande wa jiwe
 
kwanini msimkamate yule Dr. wa mifugo Mollel si mnadai amewaambia ukweli kuhusu Lissu,au kwa sababu yupo upande wa jiwe
Subiri,
Relax usije kufa mapema kwa presha. Time will tell. Kampeni zitakuwa tamu Sana mwaka huu labda muifute chadema, na hamuwezi. Wenzako wanahangaika Lumumba kwenye vikao wewe umetumwa mtandaoni huku. Just wait!
 
Alafu mbona mnapenda kumtajataja Yesu wetu wakati nyie hatumtaji mbakaji wenu?! Aliyetatua marinda ya mabinti wa miaka 9.
Yesu ni wetu pia,tafauti yenu wako wanaomwita Yesu Mungu,Wako wanaomwita mtoto wa Mungu

Sisi tunamwita Mtume, ni binaadamu aliyetumwa na Mungu kuja kutuelimisha vipi Mungu anataka tuishi

Kikubwa zaidi ni marufuku kwa Muislam kumtaja Yesu bila ya kumsalia..

Katika Quran Yesu katajwa mara 25,Muhamad Mara 2..

Tafakari,chukua hatua ya kumjua Mungu wa kweli, Masters Universe, creator of everything in this world..
 
Yesu alikufa na kufufuka. Huyo issa alifufuka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ