chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 12,001
- 20,660
Hizi tetesi zinavuma kwamba huyu bwana ni mzaliwa was Kenya,na kwamba hata wazazi wake ni wa huko Kisumu,Kenya,ujaluoni.
Je katiba ya TLS inaruhusu hata wasio raia kugombea urais was taasisi hii? Watakuwa na nguvu ipi kukosoa uongozi wa Tanzania bila kuonekana ni mamluki au wakala wa usalama wa taifa wa nchi jirani aliyetumwa kutuchimbachimba na kujipenyeza katika ngazi za uongozi na hivyo kujua siri za nchi?
Ni wazi anaweza kupata fursa ya kukaa na Rais wa nchi,Spika,na Jaji Mkuu,je hatakuwa akivujisha taarifa hizo kwa nchi aliyozaliwa?
Wajumbe wambane kuhusu mabadiliko ya majina na uraia wake na asili ya wazazi wake
Nauliza tu!