Je, Geofrey Wasonga anayewania Urais wa TLS ni mtanzania? Tetesi zinadai ni Mkenya! Je katiba ya TLS inaruhusu wasio raia kugombea nafasi hiyo?

Hilo lichunguzwe, hawa wakenya au wenye asili hizo wametuvuruga sana kama kina MUNGAI NA MUTUNGI.
 
Practicing Lawyer ambaye siyo raia wa Tanzania haruhusiwi kuwa mwanachama wa TLS?
TLS (Tanganyika law society) ni kama ilivyo vyama vingine hapa nchini,kama vitapata washirika huko nje wa kufanya nao kazi naamini watafanya kazi kama washirika tu si kupatiwa usajili mpk kupewa uongozi,hata vyama vya siasa,vya wafanyakazi vina rafiki wanachama huko nje ila huwezi kuwahesabu kama members.

Membe Jr
 
CCM watu wenye makando kando kama hawa ndio wanapenda kuwatumia maana wanajua weakness nazo, hivyo wanakutumia watakavyo.
Nasikia pia alibadili majina yote,alikuwa anaitwa Elia William,sasa hivi anaitwa Geoffrey Wasonga,nina wasiwasi na vyeti vyake,angekuwa serikalini angetumbuliwa.Kwa nini mtu abadili jina lake, la baba na la ukoo? je anauficha ukenya wake kwa kucheza mchezo wa kubadili majina? Hii ndio tabia ya majasusi kuficha utambulisho(camouflage),Mara nyingi tunabadili jina LA kwanza tu kama tumebadili dini au kama mwanamke kaolewa. Sijui TLS itakubali kuongozwa na mtu ambaye hata majina yake kihistoria yanatia ukakasi na utata!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi tetesi zinavuma kwamba huyu bwana ni mzaliwa was Kenya,na kwamba hata wazazi wake ni wa huko Kisumu,Kenya,ujaluoni.

Je katiba ya TLS inaruhusu hata wasio raia kugombea urais was taasisi hii? Watakuwa na nguvu ipi kukosoa uongozi wa Tanzania bila kuonekana ni mamluki au wakala wa usalama wa taifa wa nchi jirani aliyetumwa kutuchimbachimba na kujipenyeza katika ngazi za uongozi na hivyo kujua siri za nchi?

Ni wazi anaweza kupata fursa ya kukaa na Rais wa nchi,Spika,na Jaji Mkuu,je hatakuwa akivujisha taarifa hizo kwa nchi aliyozaliwa?
Wajumbe wambane kuhusu mabadiliko ya majina na uraia wake na asili ya wazazi wake

Nauliza tu!
Wewe ni mbaguzi wa kiwango cha juu! kwani wilaya ya Rorya ipo Kenya? Toa hoja nyingine kama unayo na sio uraia wake. Au ni tishio kwa umpendae?
 
Hata aliyetoka ni Mzanzibar wakati ile ni Tanganyika Law Society Hakuna jipya
 
Nasikia pia alibadili majina yote,alikuwa anaitwa Elia William,sasa hivi anaitwa Geoffrey Wasonga,nina wasiwasi na vyeti vyake,angekuwa serikalini angetumbuliwa.Kwa nini mtu abadili jina lake, la baba na la ukoo? je anauficha ukenya wake kwa kucheza mchezo wa kubadili majina? Hii ndio tabia ya majasusi kuficha utambulisho(camouflage),Mara nyingi tunabadili jina LA kwanza tu kama tumebadili dini au kama mwanamke kaolewa. Sijui TLS itakubali kuongozwa na mtu ambaye hata majina yake kihistoria yanatia ukakasi na utata!!!!
Angebaki kama Elia William ni Mtanzania?
 
Huyu jamaa alisoma Tambaza akiitwa Eliya au White .Alikuwa headboy pale .Nakumbuka kunji la 2000 Udsm akiwa flesher alivyopita juu ya meza pale Nkurumah kutoka mlangoni nyuma hadi jukwaa kuu.Nilipomuona anashabikia Ccm baadaye nikampuuza kuliko upuuzi wenyewe.Kwa ufupi in kibaraka was Mumiani yaani ccm.Alikuwa mgombea mpinzani wa Tundu Lissu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hitimisho lako lina relate na UZI wenyewe.

Propaganda za Ufipani at work.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikia pia alibadili majina yote,alikuwa anaitwa Elia William,sasa hivi anaitwa Geoffrey Wasonga,nina wasiwasi na vyeti vyake,angekuwa serikalini angetumbuliwa.Kwa nini mtu abadili jina lake, la baba na la ukoo? je anauficha ukenya wake kwa kucheza mchezo wa kubadili majina? Hii ndio tabia ya majasusi kuficha utambulisho(camouflage),Mara nyingi tunabadili jina LA kwanza tu kama tumebadili dini au kama mwanamke kaolewa. Sijui TLS itakubali kuongozwa na mtu ambaye hata majina yake kihistoria yanatia ukakasi na utata!!!!
Umeshaambiwa amesoma Tambaza na alikuwa HEADBOY

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi tetesi zinavuma kwamba huyu bwana ni mzaliwa was Kenya,na kwamba hata wazazi wake ni wa huko Kisumu,Kenya,ujaluoni.

Je katiba ya TLS inaruhusu hata wasio raia kugombea urais was taasisi hii? Watakuwa na nguvu ipi kukosoa uongozi wa Tanzania bila kuonekana ni mamluki au wakala wa usalama wa taifa wa nchi jirani aliyetumwa kutuchimbachimba na kujipenyeza katika ngazi za uongozi na hivyo kujua siri za nchi?

Ni wazi anaweza kupata fursa ya kukaa na Rais wa nchi,Spika,na Jaji Mkuu,je hatakuwa akivujisha taarifa hizo kwa nchi aliyozaliwa?
Wajumbe wambane kuhusu mabadiliko ya majina na uraia wake na asili ya wazazi wake

Nauliza tu!
Muda wa kupeleleza ulikuwa nao hivyo ulitakiwa uje na hoja iliyokamilika, sasa unataka tujadili nini, umbeya?
 
kana zanzibar haina kiti UNO basi is no longer a state.
definition ya country haisemi a country to be recognized as a country must be a UNO member . Umeliokota wapi hilo LA kasema must be a member of UNO to be recognized as a Country?
 
lugha gongana! wapi mie nimesema country? mimi nimesema state na hapo namaanisha sovereignity. Zanzibar sio sovereign state basi.
 
Nasikia pia alibadili majina yote,alikuwa anaitwa Elia William,sasa hivi anaitwa Geoffrey Wasonga,nina wasiwasi na vyeti vyake,angekuwa serikalini angetumbuliwa.Kwa nini mtu abadili jina lake, la baba na la ukoo? je anauficha ukenya wake kwa kucheza mchezo wa kubadili majina? Hii ndio tabia ya majasusi kuficha utambulisho(camouflage),Mara nyingi tunabadili jina LA kwanza tu kama tumebadili dini au kama mwanamke kaolewa. Sijui TLS itakubali kuongozwa na mtu ambaye hata majina yake kihistoria yanatia ukakasi na utata!!!!
Huyu jamaa sijui kwanini alibadili jina ,Inawezekana alikuwa anatumia jina la mtu huko nyuma,tulikuwa tukienda Tambaza tunamkuta na aka yake ya white mweusi tiina udsm alikuwepo kweli ule mgomo wa 2000 alikuwa first year.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom