Je, Facebook ni wadukuzi...?

NESARA

Senior Member
Sep 3, 2018
148
106
Habari zenu wadau wa JF,moja kwa moja niende kwenye mada husika,kama tunavyojua na kufahamu kuwa Facebook ni moja kati ya mitandao ya kijamii muhimu sana katika dunia ya sasa,licha ya hivyo mtandao huu umekuwa ukitumia taarifa zilizo kwenye simu ya mtu hususani majina ya watu au namba za walio kwenye phone book ndio unazikuta kule Facebook.Wajuzi wa mambo naombeni mchango wenu hapa kidogo,Je Facebook ni wadukuzi...?.

REDUCED FREEDOM GIVE ROOM TO NEGATIVITY.
 
Kuna mshikaji tunafanya shughuli sehem moja, sina mazoea nae ya ukaribu tofaugi na Hi tu za kishikaji, sasa Jana nimechungulia fb nakutana nae kwenye ile list ya "people you may know' aisee nilishangaa! Inakuaje nimkute huku wakati hata namba yake ya sim sina?
 
map location...
 
Tusubiri majibu ya wajuzi wa mambo
 
L
Kuna mshikaji tunafanya shughuli sehem moja, sina mazoea nae ya ukaribu tofaugi na Hi tu za kishikaji, sasa Jana nimechungulia fb nakutana nae kwenye ile list ya "people you may know' aisee nilishangaa! Inakuaje nimkute huku wakati hata namba yake ya sim sina?
Lakini hapo nazani watakua wamekuunganisha nae kupitia namba mojawapo ambayo wewe unayo then wakafanya connection kwa kuptia huyo mtu wa pili,yaani kuna watu watatu wamehusika wewe,wa kwenye simu yako na huyo unae peana nae Hi tu.
 
Mdukuzi ni mtu anayechukua data zako bila wewe kuridhia, lakini kwa Facebook; ulivyo jiunga tu ukawapa ridhaa zote bila hata kusoma Terms of use zao; ukiipa location access app yao jua umewapa ruhusa kukutrack, uki upload picha yako ushawapa ruhusa kuiweka kwenye facial recognition data base zao, ukikubali app yao ya Messenger kuacess contact zako ndio basi tena hapo n.k. Kwahiyo Facebook sio wadukuzi sababu ya wewe kuwapa ridhaa yako. Kumbuka "when something is free, know that you are the product."

Facebook ni biashara ambayo wewe unaipa personal information zako (itayowauzia watu wengine) in return wanakupa service hiyo ya Social networking (upate mademu, uuze bidhaa zako, upost kinacho kujia akilini na upate likes n.k.)
 
duuuuuu nimekupata mkuuuu,leteni nondo zingine ili tujue zaidi.
 
Kuna mshikaji tunafanya shughuli sehem moja, sina mazoea nae ya ukaribu tofaugi na Hi tu za kishikaji, sasa Jana nimechungulia fb nakutana nae kwenye ile list ya "people you may know' aisee nilishangaa! Inakuaje nimkute huku wakati hata namba yake ya sim sina?
FACEBOOK HIO PROCESS YA LOCATION IMEANZA MWAKA JANA HV HATA KAMA HAMJUANI ILA MNAKAA KARIBU KARIBU LAZIMA MTAONANA KUTOKANA NA FACEBOOK INAKUONYESHA WATU WALIO FACEBOOK NA AMBAO UPO NAO KARIBU BILA KUCHUKIA DETAIL YAKE
 
Back
Top Bottom