Kama lengo lenu lilikuwa kupima uwezo wake katika matumizi ya lugha na mpangilio wa maneo basi Dr. Slaa amefeli, ila kama ulitaka ajibu hoja iliyotolewa jaribu kuwa mvumilivu na upate maana ya anachokisema. Hivyo, mnapotezea muda wa kuandaa mengine ya muhimu.Kiingereza na punctuation ni muhimu, kinaweza kutuonyesha mtu anavyofikiri na umakini wake.
Nimeuliza mengi zaidi ya Kiingereza, na sijajibiwa.
Hapa kama mtu unakuja kama "Brazameni" unatuletea picha za clubs, huwezi kunisikia nakushikia bango kuhusu punctuation na Kiingereza sijui, hujajipresent hivyo.
Ukija kama Dr. W. Slaa, mgombea urais, lazima tupandishe bar.
We unataka rais ambaye hajui kuandika ? Pengine Dr. Slaa atashinda urais na kwenda Ikulu huku akikumbuka maneno yetu na kubadili hili.
Hapa tunatoa constructive criticism, isije mbele kutokea Dr. Slaa anataka kuandika kitu formal ikawa aibu.
Dr. Slaa mwenyewe kakaribisha maswali yote tu, ingawa naona anagwaya kujibu.
1. Hana mbinu wala mikakati ya kushinda
2. Anaonekana ana kaugonjwa ka ulevi na anataka kuwaambukiza watanzania wote ugonjwa huo
3. Hajui uchumi unakwendaje (labla kwa vile ni mtheolojia)
4. Hauziki
5. Hana ndoa
6. Jema pekee alilofanya (ingawa hajafanikiwa na hatafanikiwa) ni kuwataja wevi pale mwembe yanga
7. Mnafiki. Analialia eti posho za wabunge ni kuwa huku anazipokea
8. Hodari wa kulalamika lalamika
9. Anataka kuzalisha jamii yta wavuta sigara (huende na bangi pia) pamoja na walevi
10. Hakubaliki
Kwa hali hiyo, SITAMCHAGUA
HAPANA.
Kuandika 'vizuri' hakuna mafungamano na fikra au umakini. Kuna maprofesa wanachemka hata wanapoandikia kwenye fields zao itakuwa huyu mwanasiasa Slaa?
Na hii sio article ya specialization kwenye gazeti au kitabu, ni post tu ya kwenye forum tu..Sisemi kwamba aandike hovyohovyo kwa kusudi la, ila lazima tuangalie bigger picture hapa, ambayo ni kuangalia hoja iliyopo mezani.
Walau tumshukuru Slaa kwa kuja humu kuonesha anachangamana na wanamijadala na walau anajua kutumia kompyuta na internet. Wengine huko hata kuumba hati ni 'wito'.
Kwa mwanazuoni kuandika kwenye junol sio umakini ila kwa mwanasiasaUprofesa si kipimo cha umakini. Ukiandika vizuri kwa kufuata kanuni za uandishi unanionyesha unaweza kufuata taratibu, ukiandika bila paragraph wala capitalization, unachanganya first person na third person kujielezea mwenyewe, unanionyesha kwamba mawazo yako hayako organized.
Kama angekuwa amechafua pixels zote ungeambulia chochote?Huwzi kusema nachafua pixels zote halafu ukategemea kuona bigger picture. Halafu hata kwenye bigger picture mbona tume question strategy ya CHADEMA na udhaifu wa ugombezi wake bila kupewa jibu ?
Kwa mwanazuoni kuandika kwenye junol sio umakini ila kwa mwanasiasa
kuandika kwenye forum ni kipimo cha umakini. THIS IS NONSENSE.
Kama angekuwa amechafua pixels zote ungeambulia chochote?
BTW, wewe mwenyewe mbona unachapia na kuchemka hapo? au utajitetea wewe hugiombei 'urahisi'?
Hii makala inaonekana kuandikwa na kada wa CCM. Mambo ya udini na ukampuni wa familia ya Mtei wa CHADEMA ni propaganda ambazo CCM wangependa zipandikizwe kwenye fikra za wapiga kura. No wonder mwandishi hakuthubutu hata kuweka jina lake.
Nimekuelewa... but once again, you are not overcritical to anyone, i just find it amusing that you are looking to satisfying yourself through ideal scenarios while we live in a real worldGroupthink ni pamoja na kukubali kufikiri kwamba kuna watu wako above criticism, kwa mkumbo wa JF. Habari za kuchamba - ashakum si matusi- nilishakujibu hapo juu, huja address counter yangu.
1. Nimeongea zaidi ya maswala ya lugha, na nilishakuambia hili katika post ya juu, nikakushauri usome hiyo post uone nilichoongea zaidi ya lugha, sasa naona hujasoma, na huna kipya unarudia rudia. Rudi kusoma post.
2. Lugha nayo ina excellency, na lugha inaweza kuonyesha mambo mengine.Kwa mfano umakini. Dr. Slaa hajajionyesha kwamba ni makini katika kuandika, na hii si katika kiingereza tu, nimeonyesha hata alivyokanganya kiswahili.Kwa hiyo ukisema Kiingereza au Kiswahili kachanganya mambo, hili linaweza kuleta swali katika umakini wake.
Narudia tena, bora kuchamba kwingi, kuliko kutochamba kabisa kwa kuogopa kuchamba kwingi.
Mchagua sana nazi hupata koroma, anayeogopa kuchagua kabisa kwa kuhofia kupata koroma hapati hata koroma, hapati nazi kabisa
Acha watu wachambue na kuchagua.!
I am cut from a different cloth, what? You don't like it ?
Awali nimesema kuna wanazuoni kwene fani zao wanakosea na kutupiwa usoni kazi seuze mwanasiasa Dr. Slaa anayeandika JF? Wewe ukajibu ati uanazuoni sio kipimo cha umakini..sasa nikitumia huo mzani kujenga hoja unasema hujasema!Sijasema hivyo, unachanganya madawa labda.
Nimesema sijasema..back and forth zaanza..Sikusema kwamba amechafua pixels zote. Nime employ an extreme example to drive a point home.Tofautisha typo, ambayo nilishasema mwanzo kwamba hata mimi niko prone nayo (soma posts) na mtu kuchapia kitu kama "onus of proove".
Huwzi kusema nachafua pixels zote halafu ukategemea kuona bigger picture.
Readability ndio criterion kuu ya JF. Na hatuezi kusema ati mtu anayechapia JF ati hafai urais, huo utakuwa ujuha. Kama unatafuta secretary tafuta secretary..thats it.Halafu hata kama ningechapia kama yeye, which I didn't, mimi sijachukua mzigo wa kutaka kuendesha nchi, kwa hiyo naweza kukuambia mimi mzugaji tu hapa wala usitake kuniwekea standards kama za Dr. anayetaka kurun nchi, it won't be fair.
Awali nimesema kuna wanazuoni kwene fani zao wanakosea na kutupiwa usoni kazi seuze mwanasiasa Dr. Slaa anayeandika JF? Wewe ukajibu ati uanazuoni sio kipimo cha umakini..sasa nikitumia huo mzani kujenga hoja unasema hujasema!
Wacha nafasi kwa nuetrals waone nani anachanganya madawa hapa.
Nimesema sijasema..back and forth zaanza..
Readability ndio criterion kuu ya JF.
Na hatuezi kusema ati mtu anayechapia JF ati hafai urais, huo utakuwa ujuha. Kama unatafuta secretary tafuta secretary..thats it.
Halafu unasema hujachemsha na 'HUWZI' ndio lugha gani..Halafu mbona unatumia plural kujirefer wewe mwenyewe..mko wangapi?
Kwangu mimi nadhani Dr. Slaa anafaa kuwa rais kwa sababu urais ni taasisi.
Ni mtu ambaye anathubutu ya kusema na kusimamia jambo hata kama wengi mwanzoni hawalijui au kuliafiki kama lina maslahi kwa taifa. We need people who dare to talk against evils and Dr. Slaa he has that capability.
This country will not be led by angels but human and human has their own shortcomings and I dare to say there is none who is 100% saint in this world. All have made mistakes and sinned but many have also repented once they knew their mistakes or have sinned. We need a new direction, we need a new regime, we need new minds, we need new executions, we need new political willingness, we need changes.
Nyerere came to know this after 23 years of being in power that people need changes regardless that they loved him or they may not loved him but are afraid of him b/se of informative systems he put in place....etc.
You cannot know how much you have lost if you are still following the old routes and mentality, you can only see and know it if you have a change.
There are times we must accept changes!!!!!!!
Don't flatter urself..yaani ulitaka Slaa aache mambo yake nyeti ajibu hoja zako kuhusu 'ufanisi wa viingereza na punctuation' ambavyo wewe mwenyewe umeshindwa kudemonstrate? Hata ningekuwa mimi ningekupuuza tu ningekuona unanipotezea muda tu.Dr. kasepa !
Kwa hiyo tumnyime Kikwete kura kwa kuwa ni Ustaadhi? Tukifanya kupiga kura kwa hivyo sisi M bye byeHakuna atakae mpa kura Padre Slaa, huyu bado ni mtandao wa kanisa katoliki ametumwa, anajaribu kuwafumba macho wananchi kwa kutumia jf, ameshindwa kumkinaisha mkewe ahame ccm, mkewe hadi leo ni ccm damu.
Kumkabidhi padre nchi ni ku-commit suicide, ametumwa na mtandao aweze kusign memorumdum nyingine, watz hawatodanganyika kamwe!!
Narudia, kipimo cha umakini ni umakini, hakiwezi kuwa mwanazuoni.Unapojaribu kutenganisha mwanazuoni na mwanasiasa nakushangaa, kwa sababu kuna watu ni wanazuoni wanasiasa. Woodrow Wilson alikuwa Profesa Princeton halafu akawa rais wa US, sasa huyu utamuita mwanazuoni au mwanasiasa ?
Nimesema sijasema kwamba nimesema sijasema, don't misquote me.
The doctor was hardly readable na kuna watu hata hawajasoma kwa kuona hakuna mtu anayeweza kuandika kwa format mbaya vile akawa na mchango wa maana. At least hawakupata kutaka kutapika kwa kukutana na "onus of proove" na mambo ya sentensi kuanza bila capitalization. Readability gani unayoongelea wewe hiyo ambayo haijali paragraphs wala consistency ?
Kama nilivosema, JF sio sehemu ya kupimia umahiri wa makatibu muhtasi ..wewe unatafuta secretary wakati wenzio wanasaka Rais, sasa how do u explain wale ambao hawapo JF kama criterion ni ukatibu muhtasi JF? its getting really funny.Wengine tutaona sio tu huwezi urais, tutaona hata shule hujaenda . Swala hapa si kuandika tu, kuna swala zima la presentation. Slaa kachemka kujipresent, huwezi kubisha. Na hizi kazi za circus show presentation ni muhimu kweli, you should know. Some would even go as far as saying the whole circus is nothing but presentation, sasa kama Slaa anashindwa presentation hapa JF utamtegemea aweze viwanja vikubwa ?
Kusaka urais manake unatakiwa kuwa malaika asiyeandika 'onus of proove', ila wengine ni ruksa sivo?Nishakwambia hiyo ni typo, nishakwambia mimi niko prone kufanya makosa, nishakwambia standard ya kumwekea kafuku kama mie nisietaka hata ofisi ya katibu kata ni tofauti na ya Dr. Slaa. Lakini sikukosea kusema "onus of proove".
Na hiyo ya kujirefer kwa wingi nakuonyesha kwamba mimi niko kama army, nakuonyesha umuhimu wangu.
Hata ukisoma Quran ilivyoanza kuandikwa mungu ana ji refer in the plural. I represent that level of importance.
But I guess it is like Japanese Haiku to you.
Huyu dr slaa hafai hata bure.....dr slaa ni bora raisi sio rais bora na waswahili wanasema rais huwa ghali