Je, DOWANS wameshalipwa?

Je, DOWANS wameshalipwa?

Story inaweza kuwa kweli na hawa jamaa nawachukia kweli wanazidi kutumaliza lakini naona kama sio ya kweli!usitulete presha bwana!
 
Kama ya kweli au si ya kweli tumsubiri Vuta-Nkuvute aanike uozo wa hawa Magamba........
 
Ndio maana wanataka kuanza kutukamua kwa kupandisha ghalama za umeme:lol:
 
Kwani mlitegemea nini watanzania? Kwani akina Jailo na wenzake kikwete kawafanya nini? Hii tanzania itaingia kwenye mgogoro kwakuwa kikwete nimwenzao hawa jamaa
 
Jamani, tuache masihala na tuelezane ukweli, pamoja na kero za posho na uongo unaoendelea wa tumethubutu, tumeweza na tunasonga mbele, Dowans wamelipwa? au ndio maana TANESCO wanapandisha gharama za umeme? mambo haya tusiache kuyajadili pia!
 
Usikute washawakatia 50% ya hayo malipo maana hii nchi uzalendo umekwisha imebaki ubinafsi
 
Walishalipwa siku nyiiiingiiiiiii, wewe uko wapi?? kwani unafikiri kisa cha RA kukubali kujivua gamba ni nini??????

Jamani, tuache masihala na tuelezane ukweli, pamoja na kero za posho na uongo unaoendelea wa tumethubutu, tumeweza na tunasonga mbele, Dowans wamelipwa? au ndio maana TANESCO wanapandisha gharama za umeme? mambo haya tusiache kuyajadili pia!
 
Wana JF na wanaharakani tuelezane ukweli; HIVI DOWANS WAMELIPWA AU BADO?kimya kingi kina mshindo!
 
hili swali gumu tatizo ishu yenyewe iko nyeti sana hawataki wengine wajue so walio jikoni eg hazina ndo wana majibu mazuri
 
Kama kawaida yetu Watanzania tumeishalisahau hilo!!
 
Nina mtu wangu wa ndani sana yupo Ofisi ya Mhasibu Mkuu wa Serikali (Accountant General -AG) aliniambia last week kuwa Dowans walishalipwa. Na akanidokeza kwamba malipo ya Dowans ni sehemu ya chanzo cha ukata serikali hivi sasa!
 
Kama kweli Dwn wameshalipwa bunge lituambie kwamba hiyo bajet ya kuilipa dwn ilipitishwa lini na ilipitishwaje bila bunge kulitolea tamko au kuiwekea mikono ya baraka. Tunahitaji transpance katika hili na tuache mizengwe!
 
Iundwe kamati teule ya Bunge kuchunguza hili!
 
Nina mtu wangu wa ndani sana yupo Ofisi ya Mhasibu Mkuu wa Serikali (Accountant General -AG) aliniambia last week kuwa Dowans walishalipwa. Na akanidokeza kwamba malipo ya Dowans ni sehemu ya chanzo cha ukata serikali hivi sasa!
Kama kweli Dowans wamelipwa basi watz wote including wabunge na wanaharakati wote ni hovyo, iweje wabunge wakae kimya wakati nchi inakuwa exploited? iweje wanaharakati nao tuwe kama wanasiasa? topic inadumu kwa msimu tu na baada ya hapo hatufuatilii na kuishinikiza serikali kuamua in favor of the poor Tanzanians?iweje tupotezwe na siasa na kusahau mambo muhimu? kama ndivyo nina mashaka na uanaharakati wetu!!!!!
 
Tanzania ni nchi ya mazuzu kama kweli dowans wamelipwa
 
Back
Top Bottom