KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,181
- 17,182
Haya, hapa utamlaumu kwa lipi? Kwa kuileta COVID-19?Ila kusema na ule ukweli covid19 imeikumba wizara yake hard
Anajua mzigo wa lawama ulioambatana na matumbuzi uko njiani
Nawe umeongelea biblia kwa vile unaifahamu!Uislam hauujuwi wala Kigwangwala haumjui, huna haki ya kuongelea kitu usichokifahamu.
Nakubaliana na wewe 100%. Sisi wananchi pia tuna nongwa. Hatuna jema. Kutwa kulalama as bitches. Uongozi una changamoto zake. Lakini watu wanajua umepata hiyo nafasi kula bata sijui. Hata ungepewa wewe nafasi hiyo you can't fulfill everyone needs. Tuache nongwa.hawapi, mkuu kuwaongoza watanzania yataka moyo sana japo viongozi wetu wana mapungufu lakini wananchi wengi ni wapuuzi sana, wakishatoka kuangalia picha za utupu (koneksheni) wanakuja kukupayukia hovyo.
Huyu jamaa Hana vinasaba vya malaria sugu?View attachment 1411989
Hii ndio kauli yake baada ya mashambulizi kutoka pande zote baada ya ripoti ya CAG
Siyo yeye peke yake bali sehemu kubwa ya viongozi waandamizi wa serikali ya ccm ni washirikina. Elimu kwao haina maana kwani hata kwa upatikanaji wake ni kwa njia hizo hizo. Niambie kiongozi yupi awe ni Prof. au Phd holder nchi hii inaweza kumjivunia?? Wote hushindana kwa idadi ya waganga walionao ktk kulinda vyeo vyao.Kesha enda kibla huyo. Labda aite wale waganga wake wafanye tambiko lingine
Mkuu hata huyo Mteuzi wake mwenyewe hana shukurani. Nasikia keshawandaa wapeperusha bendera wake kwenye majimbo. Wengi wao ni wakuu wa mikoa/wilaya pamoja na wakurugenzi wa halmashauri. Hata mkuu wa mjengoni pale yuko mashakani. Hiki kipindi ni kizuri sana kwa waganga wa kienyeji. Phd na u Prof tupa kule wote ni kwa mwendo wa DAB.Hapa " msongo wa mawazo" unahusika!
Alikuwa anamjibu nani kwa lugha hii isiyo ya kiuongozi na iliyopungukiwa shukrani na adabu kwa mteuzi!
Udini.....Kumbuka Kigwangwala ni Muislam, mteuzi ni Allah pekee siyo binadam mwenzake.
Besides, Kigwangwala ana profession yake, sijui wewe?
Hahahaha ajuza hukosi chakuchangiaKumbuka Kigwangwala ni Muislam, mteuzi ni Allah pekee siyo binadam mwenzake.
Besides, Kigwangwala ana profession yake, sijui wewe?
Naona kama huna hojaTatizo lenu ni umbumbumbu wa sheria ya ukaguzi. Audit Query siyo wizi au kosa la jinai ndiyo maana ikaitwa query wala siyo misappropriation au theft/fraud na ndiyo maana wizara na idara zinapewa muda wa kujibu query husika na mara nyingi hizo query hufutwa baada ya kupata majibu toka wizara au idara husika. Wizara au idara ikishindwa kujibu hizo Audit Query ndipo Police/PCCB investigations inakuwa initiated ili kujua ukweli kama kuna kosa la jinai ama la.
CAG Audit anaangali kama taratibu za uhasibu zimefuatwa wakati wa malipo husika wakati Police na PCCB investigators wanachunguza kujua kama kuna kosa la jinai limetendeka kwa kuangalia vipendele vya kosa la jinai kama vimetendwa na watuhumiwa.
Hivyo Audit Query ya CAG haina maana kuwa pesa zimeibiwa au kosa la jinai limetendeka. Na ripoti yake siyo conclusive evidence kwa kosa la jinai.
Tatizo la JF ya sasa haina Great Thinkers (GT) kwa kuwa wengi wa GT wameachana nayo tukabaki sisi washabiki wa siasa tu.
sasa kwani Allah hataki utawala bora, usimamizi na matumizi bora ya fedha za umma na kodi za waislamu na wasio waislamu?
je mtu akishindwa kusimamia eneo lake la kazi ambalo alipewa na Allah, Allah huchukua hatua gani? Kigwangwala toka amemaliza MD amepractice udaktari kwa miaka mingapi? je ni daktari specialist wa nini?
Kumbuka Kigwangwala ni Muislam, mteuzi ni Allah pekee siyo binadam mwenzake.
Besides, Kigwangwala ana profession yake, sijui wewe?
Naona unafikiri ki academically sana! I have no time ya kubishana mkuu!Wapi nimesema Kigwanga kaiba? Nionyeshe, Eti na wewe unajiita GT
Naona Una mawazo ya kibiblia maana kwa mujibu wa Biblia shetani kilimkumba hata "Mungu" Yesu Kwa siku 40! Jinsi mnavyomuheshimu sikushangai maana ni biblia inasema, soma..
https://www.jamiiforums.com/threads/biblia-inasema-shetani-ni-mungu-wa-dunia.1687189/
Leta hoja wewe mwenye hoja mkuu!Naona kama huna hoja