Sidhani!Nauliza tu kama huu mtandao wetu utafunguliwa. Maana Homa ya D9 ni kama inapanda as the time goes by.
View attachment 3509230
Muda huu on air number inasoma 84,718..Jf ni kama hawajaifunga just imagine online wako members na guests hawo hapo mda huuView attachment 3509232
Idadi ni kubwaMuda huu on air number inasoma 84,718..
Hao 84,196 ni watazamaji tu ila 522 ndio wachangiaji ukiwemo wewe.. uwanja wa mpira si unaujuaIla wengi ni guests.. ambao hawachangii . Au inakuwaje hapo?
njoo JuBA basi😂Mungu asaidie waifungue tu maan huku Malawi pamenichosha yani nalipia mpka kucomment🙌😅😅
Upo Malawi ya wapi Bonyokwa au Kimara Suka?Mungu asaidie waifungue tu maan huku Malawi pamenichosha yani nalipia mpka kucomment🙌😅😅
si uligoma kunitumia nauli 🥴njoo JuBA basi😂
Uh,nilifanya mistake kubwa sanasi uligoma kunitumia nauli 🥴