Je DAWASCO na NHIF wameshaita/ajili/shortlist? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je DAWASCO na NHIF wameshaita/ajili/shortlist?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Jaxx, Jun 23, 2011.

 1. Jaxx

  Jaxx Senior Member

  #1
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau naomba updates za Dawasco na NHIF kama wameshaitwa for interview au kuajiliwa tayari?
  Naomba kuwasirisha!!!!
   
 2. k

  kashwagala Senior Member

  #2
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 10, 2010
  Messages: 116
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  DAWASCO waliniita last week nikagonga written mbili,nasikia kuna oral ndo naisubiri,sasa mkuu sijui we uliomba nafasi zipi kwani kwa uelewa wangu mdogo jamaa wanaita kutegemea na nafasi uliyoomba.Sikukatishi tamaa lakini kuna nyomi la kufa mtu kwa hiyo jipange kwa hilo mkuu.
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Jun 23, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,249
  Likes Received: 5,631
  Trophy Points: 280
  Usikate tamaa mkuu muda ukifika utapata sehemu nzuri zaidi ya hapo dawasco na lingine kukusaiidia kuwa msiri sisemi mbaya kusema ama kuuliza kuna watu wengi wameapply sehemu kama hiyo nikupe mfano kwenye baibo yussuf alioteshwa kuwa waziri mkuu alichochemsha ni kuita familia ikiwemo wazazi na kuwaambia atawaongoza we kuna ndugu wadamu waliofikiria kumchinja wengine wakaoamba atupwe baharini akaokotwe so pamoja na kuja kuwa wazir mkuu pengine angekaa kimya asingetupwa ..kujua kutunza siri ni nzuri sana shetan anasikilizia sehemu kama hhizi na pengine umeomba sana mungu anataka kufungua milango wakiona hili ukumbuke kuna malango soma ayubu 38:11 utafika lakini autapita hapa....
  Sio anatania ni kweli kuna nguvu wakiziamulia utaishia kutuma cv na mbaya kuna wengi wanatumia majina ya cv yako ulizotumia nahii ni siri ya kutotunza siri..mungu akusaidie uwe mmojawapo wa washindi na sio wasindikizaji..atuitaji kuhuduhuria interview tunaitaji kupata kazi hiyo ni neema ya mungu
   
 4. w

  wakunyaka New Member

  #4
  Jun 24, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jana ,nasikia watu wamengonga oral dawascoooooooo
   
 5. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #5
  Jun 24, 2011
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Naona nipo mbali na magazeti mkuu.zilitangazwa nafasi zipi?
   
 6. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #6
  Jun 24, 2011
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Eeeh! We ZD upo? Nimekumiss ile mbaya,ntakutafuta
   
 7. M

  Mangi Moshi Member

  #7
  Jun 24, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Walikuita kwa Nafasi zipi Maana zilikuwa Nyingi?
   
 8. L

  Lutu2 Member

  #8
  Jun 24, 2011
  Joined: Mar 11, 2010
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi nlikuwa miongoni mwa wale waliofanya intavyuu written 2 na oral 1 zaid ya wk mbili sasa kwa upande wa BO cjui ndo bac tena au kama kun anayejua kinachoendelea atujuze wadau
   
 9. Tumaini Jipya

  Tumaini Jipya JF-Expert Member

  #9
  Jun 24, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kabisa,binadamu wengi huwa tunakasumba ya kuweka mambo yetu wazi sana hata kwa watu ambao hatuwajui kinachokwenda kwenye mawazo yao,ni muhimu tujifunze kuweka mambo fulani Mioyoni mwetu tu for our own good!! Some of us can not resist the temptation to show off,just to show others we are doing fine!! Ths doesnt mean tuishi kwa siri kupindukia lakini we shud be vigillant and choosy about who we confide to!!!!
   
 10. Jaxx

  Jaxx Senior Member

  #10
  Jun 27, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Does this relate with my Post/title? OR its your feelings but u had no where to express it??!!, If yes why don't you propose your ownPost/ title???. Ahsante na kama cjakuelewa nisaidie zaidi.
   
 11. Jaxx

  Jaxx Senior Member

  #11
  Jun 27, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Does this relate with my Post/title? OR its your feelings but u had no where to express it??!!, If yes why don't you propose your ownPost/ title???. Ahsante na kama cjakuelewa nisaidie zaidi
   
 12. Mdau Mkuu

  Mdau Mkuu JF-Expert Member

  #12
  Jun 28, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 236
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  @ Jaxx,punguza hasira ndugu yangu me kiukweli nimekuelewa unamaanisha nn bt sometime tambua twatofautiana kuelewa wadau wanakupa moyo kwa kuwa wanauwezekano wananajua wa2 washaitwa sasa elewa kuwa sio kila m2 atakuambia direct ndugu yangu!
   
 13. M

  MWENDAKULIMA JF-Expert Member

  #13
  Jul 1, 2011
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 961
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Ni kweli Mdau.Kwa mfano mimi najua kuwa NHIF walishaajiri na watu wameanza kazi sometime in June.Nasikia watu walikuwa wengi zaidi ya 2000 ila post zote jumla zilikuwa around 30!!
   
 14. Jaxx

  Jaxx Senior Member

  #14
  Jul 1, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Cyo kweli maana nimefanya interview ya Compliance officer tarehe 28/06/2011, niliitwa soon baada ya kuanzisha hii thread
   
 15. M

  MWENDAKULIMA JF-Expert Member

  #15
  Jul 1, 2011
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 961
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Basi hukuwa specific maana nina rafiki yangu ambaye alifanya hiyo interview ninayokuambia maana nakumbuka hizo zilitangazwa May.Possibly zilitangazwa nyingine.Sorry kama nilikukwaza Jaxx sikuwa na maana ya kukukatisha tamaa.All the best
   
Loading...