Je dawa niliyopewq haina madhara?

Je dawa niliyopewq haina madhara?

Marealle

Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
18
Reaction score
15
Pole kwa majukumu wana jamii.
Nina changamoto ya kiafya, mwaka 2023 nilipa bahati ya kupata kazi sehemu kwa muda wa mwaka mmoja na zaidi, wakati wa kipindi hicho sikuweza kutoka nje ya eneo langu kwa muda wote hivyo kuwa na mwanamke ikaniwia ngumu. Baada ya kumaliza mkataba na kurudi nyumbani nililala na mke wangu vizuri tu, ila nilienda round 3 usiku mzima na baada ya hapo siku zilizofuata nimekuwa nikienda Round 2 usiku kucha na siku nyingine 1 na muda mwingine nakuwa sina hamu nae kabisa hata wiki, leo numeenda hospital na kupewa dawa zinazofahamika kama SAHEAL na kuambiwa nitumie baada ya wiki mbili nirudi kwa dr.
Hoja yangu ni je dawa hizi hazina madhara kwa mtumiaji kwani nilipomueleza dr hakunipima kipimo chochote kile?
 
Ukitaka kuwa vizuri kula sana mayai ya kienyeji. Chemsha mayai matano kila siku ila yasiive sana kwa muda wa siku 30.

Mayai ya kienyeji ni super food namba 2 duniani baada ya maziwa ya mama.
 
Ukitaka uwa vizuri kula sana mayai ya kienyeji. Chemsha mayai matano kila siku ila yasiive kwa muda wa siku 30.

Mayai ya kienyeji ni super food namba 2 duniani baada ya maziwa ya mama.
Sababu zipi zinayafanya mayai yawe super hivi mkuu?
 
Tumia ukiona side effect yeyote mrudie mtoa huduma wako
 
Baada ya dawa sasa ndo utakuwa mgonjwa ili ukatibiwe, sasa si hauumwi?
 
Pole kwa majukumu wana jamii.
Nina changamoto ya kiafya, mwaka 2023 nilipa bahati ya kupata kazi sehemu kwa muda wa mwaka mmoja na zaidi, wakati wa kipindi hicho sikuweza kutoka nje ya eneo langu kwa muda wote hivyo kuwa na mwanamke ikaniwia ngumu. Baada ya kumaliza mkataba na kurudi nyumbani nililala na mke wangu vizuri tu, ila nilienda round 3 usiku mzima na baada ya hapo siku zilizofuata nimekuwa nikienda Round 2 usiku kucha na siku nyingine 1 na muda mwingine nakuwa sina hamu nae kabisa hata wiki, leo numeenda hospital na kupewa dawa zinazofahamika kama SAHEAL na kuambiwa nitumie baada ya wiki mbili nirudi kwa dr.
Hoja yangu ni je dawa hizi hazina madhara kwa mtumiaji kwani nilipomueleza dr hakunipima kipimo chochote kile?
Jaribu kwanza Mechi za Nje. Hali ikiwa mbaya urejee Kwa ushauri zaidi..
 
Sababu zipi zinayafanya mayai yawe super hivi mkuu?
Yana madini mengi sana, protein ya kutosha ambayo inaweza kuchukuliwa yote na mwili.
 
Attachments

  • Screenshot_20250808_171248.jpg
    Screenshot_20250808_171248.jpg
    514.1 KB · Views: 24
Yana madini mengi sana, protein ya kutosha ambayo inaweza kuchukuliwa yote na mwili.
Vyema Sana umenifungua kitu apa, na kwenye ishi ya jamaa tatizo lake linaondolewa vp kwa kula mayai
 
Kama kuna kitu mwili haufanyi vizuri maana yake kuna upungufu wa virutubisho au madini fulani mwilini. Mtu anapokula chakula chenye virutubisho vingi basi mwili hurejea kwenye hali yake ya kawaida.

Pia muhimu kucheck pressure, sukari kama ipo sawa. Kuna kitu kinaitwa pre-diabetic,mtu anakua amebakia kidogo tu awe mgonjwa wa kisukari. Unakuta muda wote sukari ipo juu huku kongosho likizalisha insulin ambayo haifanyi kazi vizuri tena.

Lishe ndiyo tiba ya kwanza,mtu aache au apunguze kula vyakula vinavyopandisha sukari. Aache pombe,soda,mafuta ya kupikia na bidhaa zote za viwandani huku akila protein zaidi.

Tupo kama gari tu,ukiweka mafuta machafu kwa tank itaanza kuleta misfire. Inabidi umwage mafuta,usafishe pia line nzima ya mafuta mpaka kwenye engine. Ukiweka mafuta mapya chuma inateleza.
 
Shukrani Sana mkuu umenifungua Sana na elm yako
 
Back
Top Bottom