Wanabodi wote mnakumbuka kuwa CWT walisema kuwa mgogoro na serikali wameusitisha kwa sababu wampata email toka kwa simbachawene kuwa tar 16 March mwaka huu wakae walizungumzie suala hilo. Je ilikuwa ni changa la macho? Ama kweli Tanzania bila Chartism na luddism hatuwezi kuendelea kabisa aisee!