Mkuu @lizaboni,kwa ujengaji huu wa hoja,una haja ya kukaa kimya. Umbumbumbu wako huwa unatuaibisha. Si lazima uandike humu kila siku.Kwa hiyo mnaikubali NEC kule Zanzibar na mnaikataa Tanzania Bara? Hao NEC si ndio mnasema wamepora ushindi wa Lowasa? Mtego huo mmenasa
Mzee tupatupo unajua Lizabon aka mtoto wa kufikia aka kubwa jinga hajitambuiMkuu @lizaboni,kwa ujengaji huu wa hoja,una haja ya kukaa kimya. Umbumbumbu wako huwa unatuaibisha. Si lazima uandike humu kila siku.
Mzee Tupatupa
Kwahiyo ulitaka vipi weUchaguzi wa Marudio wa Ubunge Jimbo la Dimani utafanyika Januari 22, 2017. Uchaguzi huo unafanyika kufuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo Hafidh Ally Tahir.
Mtakumbuka kuwa CHADEMA na UKAWA walisusia uchaguzi wa Marudio uliofanyika Machi 2016. Swali ambalo Lizaboni na wadau wengine wanajiuliza, Je CUF na UKAWA watashiriki uchaguzi huo ambao kampeni zake zitaanza Desemba 23 au wataendelea kususia? Kama CUF watashiriki, ni chombo gani cha Maamuzi kitakachopitisha jina la Mgombea? Mtakumbuka kuwa kwa sasa kuna CUF Lipumba na CUF Maalim Seif ambapo kwa huku Bara majukumu yake yanatekelezwa na Julius Mtatiro.
Ikiwa wataamua kushiriki uchaguzi huo, Je hawaoni kuwa huko ni kula matapishi yao? Na je hawaoni kuwa kitendo hicho ni kwenda kinyume na msimamo wao waliouonesha Machi 2016?
Na kama wataendelea kususia, hawaoni kuwa ni kukizika chama chao Zanzibar na kwamba watapoteza fursa ya kuikosoa Serikali hasa baada ya kuzuiliwa kwa mikutano ya hadhara?
Muite kidampa wa lumumbaMkuu @lizaboni,kwa ujengaji huu wa hoja,una haja ya kukaa kimya. Umbumbumbu wako huwa unatuaibisha. Si lazima uandike humu kila siku.
Mzee Tupatupa
Najivunia kuwa na memba kama wewe j.f!asante kwa ilmu hii ya bure,na darsa hii tamu!Mkuu @lizaboni,kwa ujengaji huu wa hoja,una haja ya kukaa kimya. Umbumbumbu wako huwa unatuaibisha. Si lazima uandike humu kila siku.
Mzee Tupatupa
Hivi mbona kiwango chako kinazidi kushuka siku hadi siku? Unashindwa kuelewa kuwa uchaguzi uliosusiwa ni ule wa ZEC ambao ulirudiwa lakini huu wa NEC haukuwa na tatizo ndio maana wapo wabunge wengi sana wa CUF ndani ya Bunge?Uchaguzi wa Marudio wa Ubunge Jimbo la Dimani utafanyika Januari 22, 2017. Uchaguzi huo unafanyika kufuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo Hafidh Ally Tahir.