Je, CUF na UKAWA watashiriki uchaguzi wa Marudio Jimbo la Dimani Zanzibar?

Lizaboni

Lizaboni

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2013
Messages
33,826
Likes
13,921
Points
280
Age
35
Lizaboni

Lizaboni

JF-Expert Member
Joined Feb 21, 2013
33,826 13,921 280
Uchaguzi wa Marudio wa Ubunge Jimbo la Dimani utafanyika Januari 22, 2017. Uchaguzi huo unafanyika kufuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo Hafidh Ally Tahir.

Mtakumbuka kuwa CHADEMA na UKAWA walisusia uchaguzi wa Marudio uliofanyika Machi 2016. Swali ambalo Lizaboni na wadau wengine wanajiuliza, Je CUF na UKAWA watashiriki uchaguzi huo ambao kampeni zake zitaanza Desemba 23 au wataendelea kususia? Kama CUF watashiriki, ni chombo gani cha Maamuzi kitakachopitisha jina la Mgombea? Mtakumbuka kuwa kwa sasa kuna CUF Lipumba na CUF Maalim Seif ambapo kwa huku Bara majukumu yake yanatekelezwa na Julius Mtatiro.

Ikiwa wataamua kushiriki uchaguzi huo, Je hawaoni kuwa huko ni kula matapishi yao? Na je hawaoni kuwa kitendo hicho ni kwenda kinyume na msimamo wao waliouonesha Machi 2016?

Na kama wataendelea kususia, hawaoni kuwa ni kukizika chama chao Zanzibar na kwamba watapoteza fursa ya kuikosoa Serikali hasa baada ya kuzuiliwa kwa mikutano ya hadhara?
 
Malafyale

Malafyale

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2008
Messages
12,446
Likes
5,218
Points
280
Malafyale

Malafyale

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2008
12,446 5,218 280
Lizaboni
Hata Katiba ya TZ bado huijui?Uchaguzi wa wabunge wa ZNZ husimamiwa na NEC ya Jaji Lubuva wala sio ZEC ya mwehu Jecha!Uchaguzi unao simamiwa na Jecha ni ule wa Wawakilshi na Rais wa ZNZ
Sijaona popote kama UKAWA wana ugomvi na NEC kama upo huo ugomvi labda utujulishe wewe
 
kivava

kivava

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2013
Messages
5,797
Likes
4,573
Points
280
kivava

kivava

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2013
5,797 4,573 280
Ficha ushamba wako
1) Elewa tofauti ya NEC na ZEC
2)Elewa ubunge hakususiwa
3) Zanzibar ProPesa ataenda sema nini
 
Mwanahabari Huru

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Messages
14,031
Likes
31,831
Points
280
Mwanahabari Huru

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2015
14,031 31,831 280
Mtani wangu naomba nikulize je utakuwa chini ya tume ipi alafu rejea seif alisemaje
 
Hewa mkaa

Hewa mkaa

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2012
Messages
730
Likes
297
Points
80
Hewa mkaa

Hewa mkaa

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2012
730 297 80
Kama Sharif Hamad ataendelea kuzuiliwa na polisi huku Prof Lipumba akaruhusiwa kufanya kampeni kwa niaba, CUF itaanguka vibaya sana
 
Lizaboni

Lizaboni

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2013
Messages
33,826
Likes
13,921
Points
280
Age
35
Lizaboni

Lizaboni

JF-Expert Member
Joined Feb 21, 2013
33,826 13,921 280
Kwa hiyo mnaikubali NEC kule Zanzibar na mnaikataa Tanzania Bara? Hao NEC si ndio mnasema wamepora ushindi wa Lowasa? Mtego huo mmenasa
 
VUTA-NKUVUTE

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
5,988
Likes
7,898
Points
280
VUTA-NKUVUTE

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
5,988 7,898 280
Kwa hiyo mnaikubali NEC kule Zanzibar na mnaikataa Tanzania Bara? Hao NEC si ndio mnasema wamepora ushindi wa Lowasa? Mtego huo mmenasa
Mkuu @lizaboni,kwa ujengaji huu wa hoja,una haja ya kukaa kimya. Umbumbumbu wako huwa unatuaibisha. Si lazima uandike humu kila siku.

Mzee Tupatupa
 
kivava

kivava

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2013
Messages
5,797
Likes
4,573
Points
280
kivava

kivava

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2013
5,797 4,573 280
Kususiwa kulikiwa kwa Jecha na wahuni waliomtumia
NEC hawakufuta uchaguzi ,bali walizui ujumlishaji huru BARA
 
Return Of Undertaker

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Messages
3,521
Likes
16,348
Points
280
Return Of Undertaker

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Joined Jun 12, 2012
3,521 16,348 280
Mkuu @lizaboni,kwa ujengaji huu wa hoja,una haja ya kukaa kimya. Umbumbumbu wako huwa unatuaibisha. Si lazima uandike humu kila siku.

Mzee Tupatupa
Mzee tupatupo unajua Lizabon aka mtoto wa kufikia aka kubwa jinga hajitambui
 
MWALLA

MWALLA

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2006
Messages
12,934
Likes
5,471
Points
280
MWALLA

MWALLA

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2006
12,934 5,471 280
Uchaguzi wa Marudio wa Ubunge Jimbo la Dimani utafanyika Januari 22, 2017. Uchaguzi huo unafanyika kufuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo Hafidh Ally Tahir.

Mtakumbuka kuwa CHADEMA na UKAWA walisusia uchaguzi wa Marudio uliofanyika Machi 2016. Swali ambalo Lizaboni na wadau wengine wanajiuliza, Je CUF na UKAWA watashiriki uchaguzi huo ambao kampeni zake zitaanza Desemba 23 au wataendelea kususia? Kama CUF watashiriki, ni chombo gani cha Maamuzi kitakachopitisha jina la Mgombea? Mtakumbuka kuwa kwa sasa kuna CUF Lipumba na CUF Maalim Seif ambapo kwa huku Bara majukumu yake yanatekelezwa na Julius Mtatiro.

Ikiwa wataamua kushiriki uchaguzi huo, Je hawaoni kuwa huko ni kula matapishi yao? Na je hawaoni kuwa kitendo hicho ni kwenda kinyume na msimamo wao waliouonesha Machi 2016?

Na kama wataendelea kususia, hawaoni kuwa ni kukizika chama chao Zanzibar na kwamba watapoteza fursa ya kuikosoa Serikali hasa baada ya kuzuiliwa kwa mikutano ya hadhara?
Kwahiyo ulitaka vipi we
Wasusie etiee
 
M

Mnyirani

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Messages
889
Likes
498
Points
80
Age
30
M

Mnyirani

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2016
889 498 80
Swali la kitoto
 
Tukundane

Tukundane

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2012
Messages
9,624
Likes
4,209
Points
280
Age
53
Tukundane

Tukundane

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2012
9,624 4,209 280
Lipumba hana muda wa kuandaa mgombea bado yuko kwenye mkesha wa kulinda ofisi za CUF alizozibaka chini ya usimamizi wa polisi.
 
Yohana Kilimba

Yohana Kilimba

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Messages
8,126
Likes
5,232
Points
280
Yohana Kilimba

Yohana Kilimba

JF-Expert Member
Joined Dec 25, 2012
8,126 5,232 280
Mkuu @lizaboni,kwa ujengaji huu wa hoja,una haja ya kukaa kimya. Umbumbumbu wako huwa unatuaibisha. Si lazima uandike humu kila siku.

Mzee Tupatupa
Najivunia kuwa na memba kama wewe j.f!asante kwa ilmu hii ya bure,na darsa hii tamu!
 
mr.London

mr.London

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Messages
2,352
Likes
1,051
Points
280
mr.London

mr.London

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2014
2,352 1,051 280
Roho inakugonga endapo CUF itashiriki nadhan mnaomba CUF isishiriki kwa vyovyote vile
 
Chakaza

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Messages
28,454
Likes
34,135
Points
280
Chakaza

Chakaza

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2007
28,454 34,135 280
Uchaguzi wa Marudio wa Ubunge Jimbo la Dimani utafanyika Januari 22, 2017. Uchaguzi huo unafanyika kufuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo Hafidh Ally Tahir.

Mtakumbuka kuwa CHADEMA na UKAWA walisusia uchaguzi wa Marudio uliofanyika Machi 2016. Swali ambalo Lizaboni na wadau wengine wanajiuliza, Je CUF na UKAWA watashiriki uchaguzi huo ambao kampeni zake zitaanza Desemba 23 au wataendelea kususia? Kama CUF watashiriki, ni chombo gani cha Maamuzi kitakachopitisha jina la Mgombea? Mtakumbuka kuwa kwa sasa kuna CUF Lipumba na CUF Maalim Seif ambapo kwa huku Bara majukumu yake yanatekelezwa na Julius Mtatiro.

Ikiwa wataamua kushiriki uchaguzi huo, Je hawaoni kuwa huko ni kula matapishi yao? Na je hawaoni kuwa kitendo hicho ni kwenda kinyume na msimamo wao waliouonesha Machi 2016?

Na kama wataendelea kususia, hawaoni kuwa ni kukizika chama chao Zanzibar na kwamba watapoteza fursa ya kuikosoa Serikali hasa baada ya kuzuiliwa kwa mikutano ya hadhara?
Hivi mbona kiwango chako kinazidi kushuka siku hadi siku? Unashindwa kuelewa kuwa uchaguzi uliosusiwa ni ule wa ZEC ambao ulirudiwa lakini huu wa NEC haukuwa na tatizo ndio maana wapo wabunge wengi sana wa CUF ndani ya Bunge?
Siku hizi huna points umebaki na kuzua uongo na unafiki mpaka umekuharibu akili, kwamba ukizungumza jambo ambalo halina unafiki na uongo unakuwa kama umekurupuka usingizini. Nenda kapate tiba ya akili ikuondoe kwenye hali hiyo.
 
Forum statistics

Threads 1,273,280
Members 490,351
Posts 30,476,446