Kwa ni wewe ndiye yule wa Lushoto umerudi au mwingine?Wana jamvi Jana nimeona convoy ya mgombea urais tikiti ya CCm aisee ni kufuru tupu zaid ya matoyota 500.Wakati wakazi kimala wanataabika na mwendo kasi kama wanyama .Hata mazao kama mihogo uwa ina pangwa vizuri kwenye gari..Ni Aibu
Na watampigia kura, haaaaaaaaaaaaaa, na baadaye wanaanza kulalamika maishaWana jamvi Jana nimeona convoy ya mgombea urais tiketi ya CCM aisee ni kufuru tupu zaidi ya matoyota 500.Wakati wakazi kimara wanataabika na mwendo kasi kama wanyama .Hata mazao kama mihogo uwa ina pangwa vizuri kwenye gari..Ni Aibu
Ndo wanaofaidika naeWahuni wamejipanga kuhakikisha sa100 wao anasalia ikulu kwa gharaza za masikini!