Kasome sheria iliyoanzisha TANESCO.Naomba kufahamu ni kweli cma haina mamlaka kisheria kusikiliza kesi za wafanyakazi wa Tanesco kwa kigezo kwamba ni watumishi wa umma?
Mkuu unaweza kunisaidia hii sheria? Au ninaweza kuipata wp?Kasome sheria iliyoanzisha TANESCO.
Wao wana mechanism yao ya kutatua mgogoro, Hauanzii CMA, upo?
by the way CMA is a kangaroo court.
soma JUTA ,procedures za ku- sue executive agencies.Mkuu unaweza kunisaidia hii sheria? Au ninaweza kuipata wp?
mawakala wa Shetani si waliopitisha kodi ya "uzalndo", hata wanao shirikiana na "shirika "kudhulumu wafanyakazi nao ni mawakala wa ibilisi.Mawafanyakazi yanayo-snitch employers yana matatizo kabisa...
Halafu employer ndio kampuni kama Tanesco?Kampuni isiyo na tatizo lolote la kuonea mtu maana yenyewe ndio inaonewaga
Wewe mfanyakazi ndio utakua na matatizo!
Nenda mahamakani uliwe hela zote kwanza
Kwanini usiache ukaenda kufanya biashara kuliko kupoteza muda kupambana na kesi za kis3nge aisee?
Sasa nimeelewa concern yako, wafanyakazi wanajazana upepo sana, ndiyo tabia yao.Wafanyakazi hua wana matatizo
They are too emotional and they think their services on rent are the ones running the company more than any other employee,which is a big lie
Halafu hii kuingia vitani na kampuni lililokushinda kila kitu eidha hela au influence then you are likely to loose on every front!
Wanasiasa are on the next level of evil
Wafanyabiashara are lesser,huwezi compare mzee!
Na hii kudhani employees dont do evil ni wishful thinking....employees are the most evil creatures on earth..hakuna mtu anaejali maslahi yake binafsi kama mfanyakazi
They are evil like any other evil
Is TANESCO an executive agency?soma JUTA ,procedures za ku- sue executive agencies.
Notice ni ya 90 days, sasa lazma ujue je , Kwa kesi ya CMA lazma kutoa notice?
who will be parties? AG na solicitor general and TANESCO or who?
Je kama unamshitaki AG NA Solicitor general, kesi inakwenda CMA ama HC?
chemsha bongo
Tujuze, mimi huku nina deal na makesi makubwa ya Commercial na Tax appeals.Is TANESCO an executive agency?
Msaada hapa mkuu maana naona sijapata mwanga kabisa.Kuna Jamaa anaitetea sana Tanesco, Tanesco imeundwa na watu , na watu inawezekana wamemkosea Jamaa kimakosa, usimtishie mwache afungue kesi hapate haki yake.
Naomba kuelewa hapa mkuu.Is TANESCO an executive agency?
Makalio ya mama yako funga kopo lakoWafanyakazi hua wana matatizo
They are too emotional and they think their services on rent are the ones running the company more than any other employee,which is a big lie
Halafu hii kuingia vitani na kampuni lililokushinda kila kitu eidha hela au influence then you are likely to loose on every front!
Wanasiasa are on the next level of evil
Wafanyabiashara are lesser,huwezi compare mzee!
Na hii kudhani employees dont do evil ni wishful thinking....employees are the most evil creatures on earth..hakuna mtu anaejali maslahi yake binafsi kama mfanyakazi
They are evil like any other evil
Kwenye hati ya mashtaka Tanesco walimtuhumu mfanyakazi kwa mujibu wa Sheria ya ajira na mahusiano kazini No. 6/2004 na Kanuni za utendaji bora, 2007 lkn hata kwenye termination letter wametumia sheria hiyo.Hakuna sehemu ametumia Sheria ya utumishi wa umma na Mwajiri hakutoa nafasi ya kukata rufaa dhidi ya maamuzi yake. Je kwenda CMA ni makosa?TANESCO ni Shirika la Umma! Kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Sura ya 298, CMA hana mamlaka ya kusiliza mashauri ya kikazi yanayohusu watumishi/wafanyakazi wa TANESCO.
Mtumishi wa TANESCO asiporidhika na maamuzi ya vyombo vya nidhamu vya ndani ya TANESCO, anapaswa kukata rufani Tume ya Utumishi wa Umma na siyo CMA.
Ndio hawana we kama una malalamiko yapeleke Tume ya Utumishi wa Umma tuNaomba kufahamu ni kweli cma haina mamlaka kisheria kusikiliza kesi za wafanyakazi wa Tanesco kwa kigezo kwamba ni watumishi wa umma?
Barua ya termination wamemuambia kama hajaridhika na maamuzi akate rufaa wapi??Kwenye hati ya mashtaka Tanesco walimtuhumu mfanyakazi kwa mujibu wa Sheria ya ajira na mahusiano kazini No. 6/2004 na Kanuni za utendaji bora, 2007 lkn hata kwenye termination letter wametumia sheria hiyo.Hakuna sehemu ametumia Sheria ya utumishi wa umma na Mwajiri hakutoa nafasi ya kukata rufaa dhidi ya maamuzi yake. Je kwenda CMA ni makosa?
Kama hajaambiwa asipoteze muda na CMA akate rufaa Tume ya Utumishi wa Umma.Kwenye hati ya mashtaka Tanesco walimtuhumu mfanyakazi kwa mujibu wa Sheria ya ajira na mahusiano kazini No. 6/2004 na Kanuni za utendaji bora, 2007 lkn hata kwenye termination letter wametumia sheria hiyo.Hakuna sehemu ametumia Sheria ya utumishi wa umma na Mwajiri hakutoa nafasi ya kukata rufaa dhidi ya maamuzi yake. Je kwenda CMA ni makosa?
unavyojisifia Utafikiri kweli mkuu. Mkuu kama unashindwa kuelewa TANESCO kama Executive agency huwa unashinda kesi kweli?Tujuze, mimi huku nina deal na makesi makubwa ya Commercial na Tax appeals.
Kajisomee Sheria uje ujijibu, usipende kila kitu kudesa.
Hajaambiwa chochote kuhusu rufaaBarua ya termination wamemuambia kama hajaridhika na maamuzi akate rufaa wapi??
Basi ndio nimekuambia mkuu usipoteze muda maana ana siku 45 za kuwasilisha rufaa yake japo hajaambiwa so ana advantage flanHajaambiwa chochote kuhusu rufaa