Je, CMA haina mamlaka kisheria kusikiliza kesi za Tanesco?

Myhope

Senior Member
Jul 20, 2017
154
67
Naomba kufahamu ni kweli cma haina mamlaka kisheria kusikiliza kesi za wafanyakazi wa Tanesco kwa kigezo kwamba ni watumishi wa umma?
 
Mkuu unaweza kunisaidia hii sheria? Au ninaweza kuipata wp?
soma JUTA ,procedures za ku- sue executive agencies.
Notice ni ya 90 days, sasa lazma ujue je , Kwa kesi ya CMA lazma kutoa notice?
who will be parties? AG na solicitor general and TANESCO or who?
Je kama unamshitaki AG NA Solicitor general, kesi inakwenda CMA ama HC?
chemsha bongo
 
Mawafanyakazi yanayo-snitch employers yana matatizo kabisa...

Halafu employer ndio kampuni kama Tanesco?Kampuni isiyo na tatizo lolote la kuonea mtu maana yenyewe ndio inaonewaga

Wewe mfanyakazi ndio utakua na matatizo!

Nenda mahamakani uliwe hela zote kwanza

Kwanini usiache ukaenda kufanya biashara kuliko kupoteza muda kupambana na kesi za kis3nge aisee?
mawakala wa Shetani si waliopitisha kodi ya "uzalndo", hata wanao shirikiana na "shirika "kudhulumu wafanyakazi nao ni mawakala wa ibilisi.
 
Wafanyakazi hua wana matatizo

They are too emotional and they think their services on rent are the ones running the company more than any other employee,which is a big lie

Halafu hii kuingia vitani na kampuni lililokushinda kila kitu eidha hela au influence then you are likely to loose on every front!

Wanasiasa are on the next level of evil

Wafanyabiashara are lesser,huwezi compare mzee!

Na hii kudhani employees dont do evil ni wishful thinking....employees are the most evil creatures on earth..hakuna mtu anaejali maslahi yake binafsi kama mfanyakazi

They are evil like any other evil
Sasa nimeelewa concern yako, wafanyakazi wanajazana upepo sana, ndiyo tabia yao.
Na sheria ya Kazi imewapendelea sana sana.
 
soma JUTA ,procedures za ku- sue executive agencies.
Notice ni ya 90 days, sasa lazma ujue je , Kwa kesi ya CMA lazma kutoa notice?
who will be parties? AG na solicitor general and TANESCO or who?
Je kama unamshitaki AG NA Solicitor general, kesi inakwenda CMA ama HC?
chemsha bongo
Is TANESCO an executive agency?
 
Kuna Jamaa anaitetea sana Tanesco, Tanesco imeundwa na watu , na watu inawezekana wamemkosea Jamaa kimakosa, usimtishie mwache afungue kesi hapate haki yake.
Msaada hapa mkuu maana naona sijapata mwanga kabisa.
 
Wafanyakazi hua wana matatizo

They are too emotional and they think their services on rent are the ones running the company more than any other employee,which is a big lie

Halafu hii kuingia vitani na kampuni lililokushinda kila kitu eidha hela au influence then you are likely to loose on every front!

Wanasiasa are on the next level of evil

Wafanyabiashara are lesser,huwezi compare mzee!

Na hii kudhani employees dont do evil ni wishful thinking....employees are the most evil creatures on earth..hakuna mtu anaejali maslahi yake binafsi kama mfanyakazi

They are evil like any other evil
Makalio ya mama yako funga kopo lako
 
TANESCO ni Shirika la Umma! Kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Sura ya 298, CMA hana mamlaka ya kusiliza mashauri ya kikazi yanayohusu watumishi/wafanyakazi wa TANESCO.

Mtumishi wa TANESCO asiporidhika na maamuzi ya vyombo vya nidhamu vya ndani ya TANESCO, anapaswa kukata rufani Tume ya Utumishi wa Umma na siyo CMA.
 
Kwenye hati ya mashtaka Tanesco walimtuhumu mfanyakazi kwa mujibu wa Sheria ya ajira na mahusiano kazini No. 6/2004 na Kanuni za utendaji bora, 2007 lkn hata kwenye termination letter wametumia sheria hiyo.Hakuna sehemu ametumia Sheria ya utumishi wa umma na Mwajiri hakutoa nafasi ya kukata rufaa dhidi ya maamuzi yake. Je kwenda CMA ni makosa?
 
Barua ya termination wamemuambia kama hajaridhika na maamuzi akate rufaa wapi??
 
Kwenye hati ya mashtaka Tanesco walimtuhumu mfanyakazi kwa mujibu wa Sheria ya ajira na mahusiano kazini No. 6/2004 na Kanuni za utendaji bora, 2007 lkn hata kwenye termination letter wametumia sheria hiyo.Hakuna sehemu ametumia Sheria ya utumishi wa umma na Mwajiri hakutoa nafasi ya kukata rufaa dhidi ya maamuzi yake. Je kwenda CMA ni makosa?
Kama hajaambiwa asipoteze muda na CMA akate rufaa Tume ya Utumishi wa Umma.
 
Tujuze, mimi huku nina deal na makesi makubwa ya Commercial na Tax appeals.
Kajisomee Sheria uje ujijibu, usipende kila kitu kudesa.
unavyojisifia Utafikiri kweli mkuu. Mkuu kama unashindwa kuelewa TANESCO kama Executive agency huwa unashinda kesi kweli?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom