Je, CMA haina mamlaka kisheria kusikiliza kesi za Tanesco?

Basi ndio nimekuambia mkuu usipoteze muda maana ana siku 45 za kuwasilisha rufaa yake japo hajaambiwa so ana advantage flan
Apa nmekuelewa kiongoz kama umepewa barua ya kufukuzwa kazi ikionyesha kama hujardhika na maamuz haya ukate rufaa tume ya utumish ndan ya izo Sku 45 unaweza shda na kurud kwenye ajira? Na je ukshapewa barua ya kufukuzwa kaz kwa taasis iz za umma nn knafata nkmansha barua haionyesh benefit zako n zp na utatakiwa kurudisha ktambulsho au name bage au kuna barua nyingne itafata baada ya kupewa hyo ya kufukuzwa kaz
 
Kuna Jamaa anaitetea sana Tanesco, Tanesco imeundwa na watu , na watu inawezekana wamemkosea Jamaa kimakosa, usimtishie mwache afungue kesi hapate haki yake.
Upo sahihi kabisa, Haki inapatikana mahakamani, TANESCO ni shirika lenye uwezo wa kushitaki na kushitakiwa.
 
Unaanzia Tuico..halafu kuna idara ya kazi..
Huko umepita?
Ukifukuzwa kazi vyama vya wafanyakazi kazi yake ni kupaza sauti tu havina msaada.

Kama una malalamiko dhidi ya Mwajiri wako unaweza kuanzia huko mkishindwana Tuma malalamiko yako TUU.

Kama umefukuzwa kazi achana nao utapoteza muda wako, wala usiende CMA, wahi direct TUU

NB:TUU = Tume ya Utumishi wa Umma
 
Apa nmekuelewa kiongoz kama umepewa barua ya kufukuzwa kazi ikionyesha kama hujardhika na maamuz haya ukate rufaa tume ya utumish ndan ya izo Sku 45 unaweza shda na kurud kwenye ajira? Na je ukshapewa barua ya kufukuzwa kaz kwa taasis iz za umma nn knafata nkmansha barua haionyesh benefit zako n zp na utatakiwa kurudisha ktambulsho au name bage au kuna barua nyingne itafata baada ya kupewa hyo ya kufukuzwa kaz
Kuhusu kurudisha mali za.Mwajiri atakupa maelekezo mengine nje ya barua ya uamuzi usiporudisha utapambana nae kwenye kujaziwa fomu za NSSF/LAPF. PSSSF. PPF nk
 
Back
Top Bottom