Je, chatu anaweza kuua jamii ya paka (Simba, Chui, Duma)?

Ku
Yaap upo sahihi kabisa, yani kumla Simba, chui , tiger , jaguar au hata duma sio kazi rahisi Kwa chatu, wale majamaa hawanaga masihara, they fight miserably wanapoona wapo hatarini, in short sio kazi rahisi may be abahatishe ambaye sio mzima kiafya, mdogo au ni Mzee Sana, vinginevyo labda amfume amelala but whatever the situation those big cats never accept defeat so easily.....!!!
Kumbuka pia chatu anapowinda hakurupuki uwindaji wa chafu ni ambush anaweza kuviZia kujificha kwa muda hata siku kadhaa anakulia tyming sasa kwa hali hyo huwezi kutoka salama anapokushambulia
 
Ku

Kumbuka pia chatu anapowinda hakurupuki uwindaji wa chafu ni ambush anaweza kuviZia kujificha kwa muda hata siku kadhaa anakulia tyming sasa kwa hali hyo huwezi kutoka salama anapokushambulia
Wanyama jamii ya paka wako aggressive sana. Wanaiona ile ambush ya chatu kama slow motion vile. Kingine chatu anapendelea wanyama wanaokula majani kwa kuwa si rahisi kujilinda. Chatu akimvamia simba wanaweza wakafa wote kitu ambacho anaona ni hatari kwake.
 
Ni binadamu mlevi tu ndio huonewa na kila mnyama kuanzia chatu fisi kima nk
Au mtoto.kuliwa na chatu ni Aibu isiyo mithilika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom