baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 11,495
- 12,107
Wana CCM wengi wanajua kupitia box la kura CCM haiwezekani kutoka madarakani hata tugeweza kuleta Rerfoms bado tugeweza kuacha gepu na mwanya wa kuendelea kuwepo madarakani sema uoga. Mbona sasa tunafanya mistake za wazi ambazo zinaweza kuja kututoa madarakani mda wowote tunajua kwamba nguvu ya Umma pekee ndo inaweza kuondoa CCM madarakani kupitia maadamano ya Wananchi kwa kuchoka tabia zetu. Nashangaa serikali ya CCM kuanzisha chokochoko za kuiondoa madarakani kupitia nguvu ya Umma mmechoka kutawala? Rais umejiapisha mwenyewe umejichagua mwenyewe sasa wananchi wapo kimya sio kwamba hawaoni au hawajui na sio kwamba ni wapumbavu au wajinga ila wameamua kutulia Wanajua uko hapo kwenye madaraka kupita vyombo vya dola sio kwa kura na watu wamepoteza wapendwa wao Sasa kabla ya watu waliopoteza wapendwa hawajapoa unakuja na Kihoja kingine cha kumpa kesi John Heche ya Uhaini ni kitu gani unanitafuta kama sio kuondoka madarakani kwa nguvu ya Umma Kwamba John Heche anaweza kuoganaizi maadamno kalibia kila mkoa nchi hii kwa huwezo gani huo alionao Joh Heche na haya maandamano chadema wangeshiriki mbona ali ingekua hatari zaidi. Nani hasiejua kwamba Generation ya Gen Z inasumbua sana kwenye nchi ambazo zina mifumo mibovu ya kiutawala tuliona Nepal, Madagascar, Cameroon, Kenya, I very coast hapo. Kwa hiyo Heche ndo amesababisha maandamano hizo nchi zote mbona mnataka kukwepa Uwajibu wenu kwa kuwabebesha misalaba watu wengine? Ukianzisha jambo kumbuka kulimaliza mnaanzisha chokochoko wenyewe kama vile mmechoka kutawala Suala la Heche Tafadhali sana Naomba achana nalo kwa kipindi hiki mmekosea taimingi kuna mstari Mwekundu umeshachorwa mkiuvuka hii Nchi mtaenda kuingiza kwenye Matatizo