Je, CCM ni political party au aina nyingine ya taasisi?

Je, CCM ni political party au aina nyingine ya taasisi?

Je CCM ni political party,au ni organization nyingine tishio???
Hii ni case study!!!!!!
Ni monopoly party.
Kwanza sasa hivi hakuna viongozi wanaotokana na ccm. Kuna wahuni tu. CCM kina misingi yake ambayo kwa sasa imekiukwa na kuvunjwa vunjwa kabisa.
 
Kwenye uapisho haramu maporini kwenye kiwanja cha jeshi alihudhuria kiongozi wa CNDD-FDD ukisoma historia ya CNDD-FDD ambao ndio washirika wapya wa CCM baada ya mwaka huu kutoswa hadi na ANC na FRELIMO utagundua CCM kwa sasa haina tofauti na militia au junta.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom