Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,649
- 10,076
Ni swali gumu sana kwa kipindi hiki kupata majibu.
Wakati wa Mwalimu Ccm ilikuwa ni chama ya watu. Wapenda binadamu wenzao. Wenye uchungu na taifa lao.
Hawakubagua watanzania kwa elimu, ukabila au umaarufu.
Ccm ya mwalimu ilikuwa makini maana ilijua wazi kiongozi ni mtu mwenye madaraka katika jamii.
Wenye pesa na wabidhifu wakati wa Nyerere waliisoma namba.
Siasa haikuwa mtaji wa watu kupata ridhiki.
Ngoja tuone kama CCM hii iliyomsahau Mwl JKN itajibadilisha tena.