Ashampoo burning
JF-Expert Member
- May 12, 2023
- 1,299
- 3,958
Kapata wapi uniformView attachment 3483210je kweli ni mwanajeshi au kavaat mavazi jeshi
Je ni kweli yupo kikosi cha anga
Je kuna watu wamesoma nae majirani wanaweza kuthibisha kuwa ni mwanajeshi
Jwtz pia watoke watoe tamko nani ni captain tesha
Kachafua hali ya hewa sana leo hapa nchini
Usijali. Hakuna taarifa ya Serikali itaaminiwa na WananchiWanaweza wamkatae
Na kasema amemuandikia barua CDF afanye jambo nchi ipone sasa mimi ni nani nikatae na anapoongea anamlenga CDF moja kwa moja kwamba afanye jambo mimi nani nipinge?Kama mtu amejitambulisha kwa majina na kikosi alichopo wewe unatilia shaka kwa nini?
Kuna watu huwa hawajiongezi. Mimi ningekuwa na shaka kama angekuja amevaa mask na asitaje jina wala kikosi aseme tu "mimi ni mwanajeshi bla bla bla"Na kasema amemuandikia barua CDF afanye jambo nchi ipone sasa mimi ni nani nikatae na anapoongea anamlenga CDF moja kwa moja kwamba afanye jambo mimi nani nipinge?
Hii ni code au nimesoma kwa harakaPCM iliyooka hiyo. Bedui lazima arudi kwao Somalia
Tutaandamana na jeshi upande wetu haya pigeni hizo risasi zenuπππ tunachangamsha kidogo mkuu
Tutaandamana na jeshi upande wetu haya pigeni hizo risasi zenu
Lipo upande wenu huko mnapowaibia wananchijeshi liko upande wenu π π π
Lipo upande wenu huko mnapowaibia wananchi
Ngoja nikuingize kwenye ignore list mazafakawewe tarehe 29 toka utajua kama wapo upande wenu ama laa
fanya chapNgoja nikuingize kwenye ignore list mazafaka