FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,069
- 40,732
Hapana! Kumbuka Japan ilipigwa wakati wa vita kuu ya pili lakini mionzi haikusambaa nchi nzima!Nilitaka kujua hali ya kiusalama kwa mtu atakayekuwapo ndani ya Tanzania endapo bomu la nuklia litarushwa na kwenda kulipukia lets say Washington DC, au labda London, au perhaps Beijing au pengine Moscow, or even Caracas, mionzi inaweza ikatufikia hadi huku Dar?
Hatuwezi kufikiwa na mionzi kwanza huko ni mbali sana .....Nilitaka kujua hali ya kiusalama kwa mtu atakayekuwapo ndani ya Tanzania endapo bomu la nuklia litarushwa na kwenda kulipukia lets say Washington DC, au labda London, au perhaps Beijing au pengine Moscow, or even Caracas, mionzi inaweza ikatufikia hadi huku Dar?
Nilitaka kujua hali ya kiusalama kwa mtu atakayekuwapo ndani ya Tanzania endapo bomu la nuklia litarushwa na kwenda kulipukia lets say Washington DC, au labda London, au perhaps Beijing au pengine Moscow, or even Caracas, mionzi inaweza ikatufikia hadi huku Dar?
Russia ina nuklia hydrogenic bomb ambayo ina destroye the whole planet in 72hrs....kwahiyo inategemea aina ya bomb itakaopigwaNilitaka kujua hali ya kiusalama kwa mtu atakayekuwapo ndani ya Tanzania endapo bomu la nuklia litarushwa na kwenda kulipukia lets say Washington DC, au labda London, au perhaps Beijing au pengine Moscow, or even Caracas, mionzi inaweza ikatufikia hadi huku Dar?
Nilitaka kujua hali ya kiusalama kwa mtu atakayekuwapo ndani ya Tanzania endapo bomu la nuklia litarushwa na kwenda kulipukia lets say Washington DC, au labda London, au perhaps Beijing au pengine Moscow, or even Caracas, mionzi inaweza ikatufikia hadi huku Dar?
Sasa hili asitumie, maana tutaumia hata tusiohusika kwenye ugomvi, tunaomba watumie busara katika hili na sio kutaka kutukomoa woteRussia ina nuklia hydrogenic bomb ambayo ina destroye the whole planet in 72hrs....kwahiyo inategemea aina ya bomb itakaopigwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Russia ina nuklia hydrogenic bomb ambayo ina destroye the whole planet in 72hrs....kwahiyo inategemea aina ya bomb itakaopigwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa the whole planet si atayeye atakuwa kajipiga mwenyeweSasa hili asitumie, maana tutaumia hata tusiohusika kwenye ugomvi, tunaomba watumie busara katika hili na sio kutaka kutukomoa wote
Wenyewe yeye na Marikani walisha anda underground bankers kuhifadhi viongozi wao na watu muhimu in case the worse come to the worse....ili human race inakua preservedSasa the whole planet si atayeye atakuwa kajipiga mwenyewe
Duuh,noma sana hizi mambo..tuombe tu yasitokee..Wenyewe yeye na Marikani walisha anda underground bankers kuhifadhi viongozi wao na watu muhimu in case the worse come to the worse....ili human race inakua preserved
Sent using Jamii Forums mobile app
Tamaa ya US ya mafuta ya Venezuela itaifikisha dunia pabayaDuuh,noma sana hizi mambo..tuombe tu yasitokee..
Maana itakuwa ndo kwaheri
Unamaanisha 'bunkers' sioWenyewe yeye na Marikani walisha anda underground bankers kuhifadhi viongozi wao na watu muhimu in case the worse come to the worse....ili human race inakua preserved
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani tukifa wote pana hasara gani?Sasa hili asitumie, maana tutaumia hata tusiohusika kwenye ugomvi, tunaomba watumie busara katika hili na sio kutaka kutukomoa wote
Chai jaba au Chai bora?Russia ina nuklia hydrogenic bomb ambayo ina destroye the whole planet in 72hrs....kwahiyo inategemea aina ya bomb itakaopigwa
Sent using Jamii Forums mobile app