Je Bei Za kuuza wanyama zitapanda wakati wa Sikukuu ya Eid? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je Bei Za kuuza wanyama zitapanda wakati wa Sikukuu ya Eid?

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Sep 18, 2009.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Sep 18, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,599
  Trophy Points: 280
  [​IMG] Kutokana na kuongezeka kwa mahitaji ya kitoweo wakati huu wa maandalizi ya sikukuu ya Idd el Fitri idadi ya mbuzi imeongezeka kwenye mnada wa mifugo hiyo Vingunguti, Dar es Salaam.
   
 2. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #2
  Sep 19, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Mkuu wameza bado bei poa tu.
   
 3. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #3
  Sep 19, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Tena ni mtamu kupita kawaida.
   
Loading...