mkuu sasa virus wanaingiaje kwenye mwili wa mwenza wake? kama hapajatokea michubuko?
Kama 24 hrs hazijapita wahi kwa madaktari kuna dawa wanaweza kukusaidia kama wanavyofanya kwa rape victims. Usichelewe!
R.I.P bro BAGAH...i'll mic you alot...
Mtalingolo mbona unaniaga mapema ivo?mm nipo kwenye research yangu...kujua uelewa wa watu juu ya UKIMWI na VVU...nakusanya data taratiiibu
Sasa kama una mchubuko kwenye vidole na wewe umemchezea nusu saa nzima si unaupata tu! Au unafikiri mchubuko mpaka uumeni?
Kama ulilainisha vya kutosha uko poa mkuu! Mi style hiyo naitumia sana, tena next time umwage nnje ndio utakuwa salama zaidi hata STDs hutapata!