Mabaharia ni wanaume wote wenye uwezo wa kuchepuka nje ya ndoa au ajaoa lakini ana demu kabla ya ndoa kwa iyo mademu wanakua Kama meli na gest ni bahari Kuna baharia wa nchi kavu na wa baharini wale ndo wanaendaga na meli vyombo vya moto
Wana jf naomba mnijuze hivi MABAHARIA Ni akina Nani na wanafanya kazi gani
Mana Kila nikipita kwenye social media hili neno limetrend Sana siku hizi.
Mnisaidieeee