Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,320
- 185,276
HahahahPIGA KIFO CHA MENDE na ukitaka kukojowa usipepese macho..MUANGALIE MKEO USONI....atatoka mtoto zaidi ya PACHA WAKO... 100%. PROVED
Sent using Jamii Forums mobile app
Fanya DNA kwa hao watoto. Kuna wanaodai wakati wa ujauzito, inatokea mke anamchukia sana mume wake, na hiyo inasababishwa na ujauzito, basi mtoto akizaliwa, ni baba mtupu.Swali langu ni hilo tu,sijui kama linawezekana au lipo nje ya uwezo wa kibinadamu.
Nina watoto wawili wote wanafanana na mama yao,na yeye si mwaminifu 100% sasa nashindwa kuwa na uhakika kama watoto ni wangu au sio wangu kwakuwa wanafanana na mama yao.
Like seriously?😂😂😂nadhani lengo lako si kutaka wafanane nawe sababu wameshazaliwa, lengo lako ni kujua kama ni wako, achana na DNA hakuna majibu watakayosema wewe si baba yao sababu wanaangalia sana matokeo ya kukuambia ukweli kuliko ukweli wenyewe.
Ni rahisi sana kujua kama ni wa kwako, subiri wanao wakifikisha miaka miwili jaribu hii njia: Kwa kawaida mtoto akifanya kosa ukamchapa viboko kama ni wa kwako atakimbilia ndani hata kama mama yake hayupo ndani, ukikafuata
kanakimbilia chumbani kakichoka kanakuangukia miguuni.
Lakini kama siyo wa kwako ukimchapa lazima akimbilie nje na kakiwa kanalia hakaiti baba. Ukiona hivyo unakachapa viboko kanakimbilia nje hadi mtaani huko jua wazi hapo unalelea mwanaume mwenzio. Achana na DNA.
mshauri akikimbia nje amchape taratibu asije akapata kesinadhani lengo lako si kutaka wafanane nawe sababu wameshazaliwa, lengo lako ni kujua kama ni wako, achana na DNA hakuna majibu watakayosema wewe si baba yao sababu wanaangalia sana matokeo ya kukuambia ukweli kuliko ukweli wenyewe.
Ni rahisi sana kujua kama ni wa kwako, subiri wanao wakifikisha miaka miwili jaribu hii njia: Kwa kawaida mtoto akifanya kosa ukamchapa viboko kama ni wa kwako atakimbilia ndani hata kama mama yake hayupo ndani, ukikafuata
kanakimbilia chumbani kakichoka kanakuangukia miguuni.
Lakini kama siyo wa kwako ukimchapa lazima akimbilie nje na kakiwa kanalia hakaiti baba. Ukiona hivyo unakachapa viboko kanakimbilia nje hadi mtaani huko jua wazi hapo unalelea mwanaume mwenzio. Achana na DNA.
Hii kitu ina proof scientifically?nadhani lengo lako si kutaka wafanane nawe sababu wameshazaliwa, lengo lako ni kujua kama ni wako, achana na DNA hakuna majibu watakayosema wewe si baba yao sababu wanaangalia sana matokeo ya kukuambia ukweli kuliko ukweli wenyewe.
Ni rahisi sana kujua kama ni wa kwako, subiri wanao wakifikisha miaka miwili jaribu hii njia: Kwa kawaida mtoto akifanya kosa ukamchapa viboko kama ni wa kwako atakimbilia ndani hata kama mama yake hayupo ndani, ukikafuata
kanakimbilia chumbani kakichoka kanakuangukia miguuni.
Lakini kama siyo wa kwako ukimchapa lazima akimbilie nje na kakiwa kanalia hakaiti baba. Ukiona hivyo unakachapa viboko kanakimbilia nje hadi mtaani huko jua wazi hapo unalelea mwanaume mwenzio. Achana na DNA.
mkuu utaniumiza mbavu zangu mie, sasa wewe sema kwenye ndoa yenu hamjatulia na si kumsema mkeoSifi kwa kujinyonga wala bp,Mimi mwenyewe nina kipozeo nje
Fanya blood group test, unaweza kupata majibu:Swali langu ni hilo tu,sijui kama linawezekana au lipo nje ya uwezo wa kibinadamu.
Nina watoto wawili wote wanafanana na mama yao,na yeye si mwaminifu 100% sasa nashindwa kuwa na uhakika kama watoto ni wangu au sio wangu kwakuwa wanafanana na mama yao.
Kuna kipindi nishawah kataa mimba na ilikua lazma niikatae kwasabu nlikua Sina uhakika ukilinganisha huyo mwanamke alikua na mchumba wake na walikua wanaishi pamoja Ila nikaambiwa mimba ni yangu
Bas nikapiga chenga weeee mpaka mtoto alivozaliwaa, akiwa na miez Kama mitano iv ndo nkafanikiwa kumuona , japo sijui kufanaanisha Ila mtoto alikua ni Mimi mtupu Napo nikasema hapana haiwezekani, nikaenda kupima group la damu nayo ikawa ni group langu
Kuangalia group la damu ni njia ambayo inapuuziwa na wengi Ila nakushauri chunguza group la dam pia maana huwaga halichez mbali Sana japo sometime mtoto anaweza kuja na group lake Ila mostly maji hufuata mkondo
Mkuu bado sijamchukua kwasababu jamaa kakomaa nae Ila kila kitu nampatia mwananguNaomba kujua ulimchukua mtoto wako!?
Au ulimpata pata vipi maana mimi wa kwangu kang'ang'aniwa na jamaa anajjua fika si ndo wake maana aliambiwa na tunakutana Cha ajabu kakataa kasema wakwake mpk Sasa ninastress maana WaTu washakuja kusema nisikubali kupoteza damu yangu
Daah mwanangu mimi roho inaniuma sana.Jamaa nishamwambia sio damu yake Ila hataki,,,jamaa mbegu yangu kaipenda mbaya zaidi nahofia atamsafirisha mkoan kwao daah namuwaza Sana mwanangu.Mkuu bado sijamchukua kwasababu jamaa kakomaa nae Ila kila kitu nampatia mwanangu
Ila Kuna mtego nimeutega nataka akishafkisha miaka miwili nimpeleke shule ambayo jamaa atashindwa kulipia ada na kuanzia hapo najua hatoweza Tena kumuudumia
Hapo inabd ucheze na mwanamke na sio huyo jamaaDaah mwanangu mimi roho inaniuma sana.Jamaa nishamwambia sio damu yake Ila hataki,,,jamaa mbegu yangu kaipenda mbaya zaidi nahofia atamsafirisha mkoan kwao daah namuwaza Sana mwanangu.